Matokeo ya Kidato cha Sita ni kanyaboya!

Mimi sitaki hata kushangaa kama naweza kupanga msafar wa magari kadhaa kwenda kuzindua nyumba moja ya mfugaji,hili la kufaulu ndo ntashangaa!!
Jawilat unaambiwa makocha wameongeza upana wa goli ili magoli yapatikane wewe bado hushangaii. Cc Elli
 
Last edited by a moderator:
Acheni ujinga kuchochea maneno yenu, walimu wenyewe waliosahisha wanakili kuwa wanafunzi hasa wa Arts walifaulu sana, sasa nyie wehu wachache sijui mnachochea nini hapa. Kwahiyo watu wafeli ndio mseme elimu ipanda..?

hivi wewe tutusa hujui kinachoongelewa hapa? kutanua magoli ndio kuboresha elimu? viwango vya ufaulu vimeshushwa. sasa inaanzia 75-100 badala ya 81-100 kama kama zamani. wewe huoni kwamba magoli yametanuliwa ili kuboresha ufaulu kisiasa? acha kutetea ujinga bana.
 
Lakini TCu si wanaendelea na viwango vyao vilevile au?
 

A level siku zote A ni 75%-100%
 
Ppo bana wao wakisha faulu hawataki wadogo zao nao wafaulu xax if its their brain regain nothing try to compete with their to,factly results show big changes dat wouldnt b fair but most of u talk head bother facts and not creative things cjaona utoe ushauri naona unaponda tu we vip
 
Achani fitina zenu mkafie mbali nyie mna roho za kikafiri hamtaki kuona watu wanafanikiwa.hakuna cha ajabu form six kufaulu kama walifanya vizuri form form
 
Bado nawashangaa sana!!hivi mtu aliyefaulu vizuri kidato cha nne akifaulu vizuri zaid kidato cha sita kuna tatizo!!

umewahi kusoma A level??? na kama ulisoma.. ulisoma comb gani na shule gani???… A level haijalish ulifaulu vipi olevel…binafsi nimesoma Ilboru 6 years.. nimeona watu wanaingia na div1 kali wanatoka had na div3 wengne had div4… so kufaulu olevel sio assurance ya kufaulu advance
 

MWAKA 2013: A = 80 – 100; B = 75 - 79;
C = 65 – 74; D = 55 – 64; E= 45 – 54; S =
40 – 44 na F =0 – 39.
Hivyo vilikuwa viwango vya ufaulu 2013
linganisha na vya sasa.
Edit Reply Report Post
 
Unajua nyny ni wasomi bt anuoni mbali Kwani ni chuo gan kitavmlia nwanafnz mbov kama ana akili atakula.dsco judge jambo ili bda ya kuon dsco nying vyuon watakaoingia mara i. Amtaki kufkir watoto muko kwa maslai yenu tu ni jambo ka kawaida kwa mwenye 1 4m 6 akapitwa .na aloingia kwa E mbili tu. Au nyny ni wabwabwaji wa wamaakan tu amtumu elim
 
Upotoshaji huo hakuna kitu Kama hicho., ivi ukitunga habari kama hiyo au ukidanganya unapata faida gani
 
Achani fitina zenu mkafie
mbali nyie mna roho za kikafiri hamtaki kuona watu wanafanikiwa.hakuna
cha ajabu form six kufaulu kama walifanya vizuri form form

mbona povu jingi namna hiyo alaf hizo roho za kikafiri zikoje tena wajameni
 

Duh lugha gongana(kiinglish hicho kilikuja na meli)
BRN at work!"
 
Upotoshaji huo hakuna kitu Kama hicho., ivi ukitunga habari kama hiyo au ukidanganya unapata faida gani

tangu lini migamba mkakubali ukweli? kazi yenu ni kuvimbisha mimacho lumumba mkipiga dili za buku 7 wakati elimu yetu inazidi kuangamia. acha kujitoa akili kwa kila jambo. tabia hiyo ya kigamba ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo sasa. shame upon you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…