Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Ok sawa.
Zezeta ww a.k.a Brain Regain Nothing (BRN)...nenda katawaze ukalale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zezeta ww a.k.a Brain Regain Nothing (BRN)...nenda katawaze ukalale
ushirikishe ubongo wako japo kidogo.
unaelewa unachosema au unahororoja tu?
Acheni ujinga kuchochea maneno yenu, walimu wenyewe waliosahisha wanakili kuwa wanafunzi hasa wa Arts walifaulu sana, sasa nyie wehu wachache sijui mnachochea nini hapa. Kwahiyo watu wafeli ndio mseme elimu ipanda..?
hivi wewe tutusa hujui kinachoongelewa hapa? kutanua magoli ndio kuboresha elimu? viwango vya ufaulu vimeshushwa. sasa inaanzia 75-100 badala ya 81-100 kama kama zamani. wewe huoni kwamba magoli yametanuliwa ili kuboresha ufaulu kisiasa? acha kutetea ujinga bana.

Bado nawashangaa sana!!hivi mtu aliyefaulu vizuri kidato cha nne akifaulu vizuri zaid kidato cha sita kuna tatizo!!
hivi wewe tutusa hujui kinachoongelewa hapa? kutanua magoli ndio kuboresha elimu? viwango vya ufaulu vimeshushwa. sasa inaanzia 75-100 badala ya 81-100 kama kama zamani. wewe huoni kwamba magoli yametanuliwa ili kuboresha ufaulu kisiasa? acha kutetea ujinga bana.
Upotoshaji huo hakuna kitu Kama hicho., ivi ukitunga habari kama hiyo au ukidanganya unapata faida ganiKuna taarifa za siri na kiintelijensia zinazobainisha kwamba matokeo ya Mitihani ya kuhitimu Kidato cha Sita (ACSEE) yamepikwa kisiasa. Inadaiwa kwamba matokeo hayo yalichakachuliwa (standardized) mara 3 na kikosikazi kilichopewa majukumu ya 'kuyaboresha' kabla ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kuyatangaza hadharani.
Habari zinabainisha kwamba baada ya matokeo ya kwanza kutoka, ambayo yalikuwa mabaya sana, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dr Shukuru Kawambwa, aliunda timu ya watu 6 ili 'kuboresha' matokeo hayo. Timu hiyo ilijumuisha watu wawili kutoka NECTA, watatu kutoka Wizara ya Elimu, na mtaalamu mwelekezi kutoka Kitivo cha Elimu cha Chuo Kikuu cha Dar es laam, kampasi ya Mlimani.
Inaelezwa kwamba lengo kubwa la 'kuboresha' matokeo ni kuwavisha wazazi kilemba cha ukoka, hasa baada ya serikali kushindwa kuboresha kiwango cha elimu kwa vitendo. Ni matokeo yanayolenga kuwafurahisha wazazi na kuwafanya waamini kwamba kiwango cha elimu nchini kimepanda. Hii ni hatari kuliko maelezo!
:israel:
Achani fitina zenu mkafie
mbali nyie mna roho za kikafiri hamtaki kuona watu wanafanikiwa.hakuna
cha ajabu form six kufaulu kama walifanya vizuri form form
Ppo bana wao wakisha faulu hawataki wadogo zao nao wafaulu xax if its their brain regain nothing try to compete with their to,factly results show big changes dat wouldnt b fair but most of u talk head bother facts and not creative things cjaona utoe ushauri naona unaponda tu we vip
Duh lugha gongana(kiinglish hicho kilikuja na meli)
BRN at work!"
Upotoshaji huo hakuna kitu Kama hicho., ivi ukitunga habari kama hiyo au ukidanganya unapata faida gani
unaelewa unachosema au unahororoja tu?