Matokeo ya kidato cha sita

Matokeo ya kidato cha sita

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Wana JF ningependa kujua kama kuna m2 kaskia tetesi zozote kuhusu wa2 tulivo perform katika hii mitihani maana mi nimeambiwa eti physics t.o pp1 ana 59 % . Je ni kweli ? Na masomo mengine vp ?
 
Acha kupanic dogo kitasaishwa ulichokiandka.
 
Dogo subiri baada ya siku kama 5 hivi utayajua hayo yote
 
hawa watoto wa sasa hivi bwana hivi we ujaenda jkt kua nasubira tarehe 30 april zitatoka
 
Wana JF ningependa kujua kama kuna m2 kaskia tetesi zozote kuhusu wa2 tulivo perform katika hii mitihani maana mi nimeambiwa eti physics t.o pp1 ana 59 % . Je ni kweli ? Na masomo mengine vp ?

huyo alie kuambia ndo umuulizie kazipata wapi habari hizo
 
Wana JF ningependa kujua kama kuna m2 kaskia tetesi zozote kuhusu wa2 tulivo perform katika hii mitihani maana mi nimeambiwa eti physics t.o pp1 ana 59 % . Je ni kweli ? Na masomo mengine vp ?

Usichoke kusubiri ukweli....endelea kusubiri, muda bado kidogo utafahamu ukweli!!!!
 
Madogo wengne nao! Jithibitishie mambo kwanza! Mbona utasikia tu!
 
Wana JF ningependa kujua kama kuna m2 kaskia tetesi zozote kuhusu wa2 tulivo perform katika hii mitihani maana mi nimeambiwa eti physics t.o pp1 ana 59 % . Je ni kweli ? Na masomo mengine vp ?
hata kama ana 59% ya physics pp1 asisahau kuwa kuna tume ya kutunuku grades, wataifanyia uchakachuaji a.k.a standardization ingawa matokeo ninavofahamu bado.
 
Kwan aliyekufanya uckie hakuxema yote? Mbane huyohuyo.
 
Back
Top Bottom