Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

It has been an interesting day; however, tusije kusherehekea mno kwa sababu furaha au huzuni ya kweli inakuja tarehe 14. So, wenye kufurahia wafurahi kwa muda na wenye kuhuzunika, wahuzunike kwa muda. Mchakato ni wa maoni tu, uamuzi uko KK.
 
Mzee Mwanakijiji,

Post yako ya mwisho ninaona maandishi ambayo haya-make sense, with exception of the last two sentences. Kuna nini hapo juu ambako ninaona characters tu?
 
Nilikuwa nafuatilia kwa karibu sana matokeo ya uchaguzi wa CCM siyo kwa sababu nina hamu ya kujua nani atashinda, bali nilikuwa nataka kujua zaidi uchafu unaotumiwa na washindi baina yao wenyewe kusudi wakija kupambana na sisi tuwe tunajua sabuni ya kujisafishia kila wanapurusha uchafu huo. Nimejifunza mengi sana na nikiapata nafasi ya kuyapanga vizuri nitayatoa hapa kidogo kdiogo. Ukweli ni kuwa CCM ni chama hatari sana kwa maisha ya Watanzania. Ninadhani kuwa watu wengi waliowahi kuitumikia CCM bila usumbufu wowote kwa miaka kumi na tano iliyopita watakuwa nao wana walakini wa aina fulani.
 
It has been an interesting day; however, tusije kusherehekea mno kwa sababu furaha au huzuni ya kweli inakuja tarehe 14. So, wenye kufurahia wafurahi kwa muda na wenye kuhuzunika, wahuzunike kwa muda. Mchakato ni wa maoni tu, uamuzi uko KK.

Tarehe kumi na nne ya lini?
 

Inaonekana kuwa huko Kyela wana CCM hawajafika hata 10,000. Swali gumu ni kwamba ziko wapi zile kadi 10, 000 za wizi zilizoripotiwa hapa jamvini na Kuruta mmoja???
 
Prof alifanya kosa kutogombea urais mwaka huu, alikuwa na nafasi nzuri ya kumpiga kidali poo Mh. JK. Mwaka 2015 sidhani kama ataweza kupamba na Dr. Asha-Rose Migiro ambaye wengine tunampa nafasi kubwa ya kuombwa na NEC ya CCM arudi agombee upresidaa
:shock::shock::shock::shock::shock:kha kuna issue zingine inabidi mtu uwe na wendawazimu kuzikubari, hivi ni hawa hawa ccm?
 
Prof alifanya kosa kutogombea urais mwaka huu, alikuwa na nafasi nzuri ya kumpiga kidali poo Mh. JK. Mwaka 2015 sidhani kama ataweza kupamba na Dr. Asha-Rose Migiro ambaye wengine tunampa nafasi kubwa ya kuombwa na NEC ya CCM arudi agombee upresidaa

Mkuu Profesa is smarter than what you think. Kama ungejua TISS walikuwa wanafanya nini kabla ya kinyang'anyiro, ungejua kuwa all elements zilitakiwa kuondolewa kumpisha JK. No body knows why, labda Shibuda aliyeanza hata kumsifu JK anaweza kueleza.

Lakini kama una ndoto kuwa Asha atagombea 2015 you are dreaming, tena una ndoto kweli. Our nation is at big mess, in 2015 tutahitaji mtu more than Asha. Ukumbuke kuwa elimu ni sehemu ndogo tu ya uwezo wa uongozi. Tanzania is not ready for a female presdent, hata baadhi ya mawaziri wanawake unaona kabisa kama wasindkizaji tu na wanabebwa tu, same applies to wabunge. Asha urais bado sana, na kukaa nje ndio kunapunguza zaidi chances zake.

Kama mambno yakiwa kawaida Potential candidates ni Mwandosya, EL, Pinda and likes, ni mapema sana kuanza kuongelea issue hii lakini so let us wait and see.
 
Habari zilizonifikia ni kwamba Jimbo la Lupa, Chunya, Mheshimiwa Victor Mwambalaswa ameshinda, kamuacha Mheshimiwa Njelu Kasaka kwa zaidi ya 2000 votes....
 
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa TFF, Frederik Mwakalebela amembwaga Monica Mbega katika jimbo la Iringa Mjini.
 

It is very likely CCM huwa inatuongopea kwamba ina wanachama milioni nne. Anywayz kuna umuhimu wa CHADEMA kukamata hizi namba all over the country ili kufahamu ni namna gani ya kuallocate resources. Na kama Kyela pamoja na kelele zote zile hao ndiyo wana CCM tuna kila sababu ya kuamini Dr. Slaa atapita pia kwa margin kubwa si kawaida.
 
This thread was so sweet to read........happy that Chadema will win IGUNGA....
 
...Kuna Taarifa za Masahihisho kuwa Mama Shamsa Mwangunga ameshinda uteuzi wa Ubungo,hapo awali nilitaarifiwa kuwa Nape Nnauye alikuwa ameshinda.
Ebu tuwekeeni hii vizuri, maana hili jimbo ni patashika ndani na nje ya CCM
 
Huko Mkoani Kagera kuna Taarifa kuwa Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Nkenge Nazir Karamagi ameshindwa katika uchaguzi wa mwanzo wa kumtafuta Mgombea wa CCM wa Jimbo hilo,pia Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki Dr. Deodorus Kamala amepoteza kiti chake, Mama Asumptha Mshama ameshinda kwenye Jimbo hilo la Misenyi.Huko Iringa Mjini aliyekuwa Katibu Mkuu wa TFF Bwana Fredrick Mwakalebela amemshinda aliyekuwa Mbunge Mama Monica Mbega.

Katika Kinyang'anyiro cha mwaka huu ni Wabunge Wanne tu ambao wamepita bila kuwa na Wapinzani,Wabunge hao wa CCM ni Mizengo Pinda,Benard Membe,Aggrey Mwanri na Ezekiel Maige.
 
Pia nimepata habari kwamba Mama zabein Mhita amewashinda wapinzani wake na kutetea nomination yake
 

Mwawado;

Balozi Kagasheki ambaye pia ni naibu Wizara-mambo ya Ndani;mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Bukoba mjini pia nae alipita bila kupingwa,nahisi ulimsahau!
 
jamani kinondoni nani kapita??...i wish shemeji yangu kawagalagaza wapinzani wake
 
jamani kinondoni nani kapita??...i wish shemeji yangu kawagalagaza wapinzani wake

Who Cares?
Habari zinasema Mbunge aliyemaliza muda wake kaweza kutetea kiti chake kiurahisi kabisa hapo Kinondoni
 

Dah Mwakalinga vp tena jamani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…