sauli meaning S.H. AMON?That will be good news if transpires to be true. he was like a robbot, remoted by Sauli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sauli meaning S.H. AMON?That will be good news if transpires to be true. he was like a robbot, remoted by Sauli.
It has been an interesting day; however, tusije kusherehekea mno kwa sababu furaha au huzuni ya kweli inakuja tarehe 14. So, wenye kufurahia wafurahi kwa muda na wenye kuhuzunika, wahuzunike kwa muda. Mchakato ni wa maoni tu, uamuzi uko KK.
Tarehe kumi na nne ya lini?
Kama taarifa hizi ni sahihi, mbona wilaya/jimbo la Kyela lina wanachama wachache sana? Sasa hao wanachama milioni 4 ambao CCM huwa inatutambia kila siku wako wapi?
Margin ni kubwa sana! Hapo hata kama CC wana kinyongo na mshindi sioni kama wanaweza kuwa na jeuri ya kukata jina la mshindi aliyeongoza.
Rafiki yangu Mwakalinga kama ana nia ya kujaribu tena 2015 anahitaji kuanza mikakati ya ushindi kuanzia mwakani mwezi Januari.
Nimekubali maneno ya Dr. Mwakyembe aliyoyasema siku anahojiwa na Mwanakijiji kuhusu juhudi za Lowassa kujisafisha. Alisema kwamba watu wataaibika, kama huo ndio ushindi wenyewe basi alikuwa na haki ya kutamka hivyo.
:shock::shock::shock::shock::shock:kha kuna issue zingine inabidi mtu uwe na wendawazimu kuzikubari, hivi ni hawa hawa ccm?Prof alifanya kosa kutogombea urais mwaka huu, alikuwa na nafasi nzuri ya kumpiga kidali poo Mh. JK. Mwaka 2015 sidhani kama ataweza kupamba na Dr. Asha-Rose Migiro ambaye wengine tunampa nafasi kubwa ya kuombwa na NEC ya CCM arudi agombee upresidaa
Prof alifanya kosa kutogombea urais mwaka huu, alikuwa na nafasi nzuri ya kumpiga kidali poo Mh. JK. Mwaka 2015 sidhani kama ataweza kupamba na Dr. Asha-Rose Migiro ambaye wengine tunampa nafasi kubwa ya kuombwa na NEC ya CCM arudi agombee upresidaa
Kama taarifa hizi ni sahihi, mbona wilaya/jimbo la Kyela lina wanachama wachache sana? Sasa hao wanachama milioni 4 ambao CCM huwa inatutambia kila siku wako wapi?
Margin ni kubwa sana! Hapo hata kama CC wana kinyongo na mshindi sioni kama wanaweza kuwa na jeuri ya kukata jina la mshindi aliyeongoza.
Rafiki yangu Mwakalinga kama ana nia ya kujaribu tena 2015 anahitaji kuanza mikakati ya ushindi kuanzia mwakani mwezi Januari.
Nimekubali maneno ya Dr. Mwakyembe aliyoyasema siku anahojiwa na Mwanakijiji kuhusu juhudi za Lowassa kujisafisha. Alisema kwamba watu wataaibika, kama huo ndio ushindi wenyewe basi alikuwa na haki ya kutamka hivyo.
Huko Mkoani Kagera kuna Taarifa kuwa Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Nkenge Nazir Karamagi ameshindwa katika uchaguzi wa mwanzo wa kumtafuta Mgombea wa CCM wa Jimbo hilo,pia Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki Dr. Deodorus Kamala amepoteza kiti chake, Mama Asumptha Mshama ameshinda kwenye Jimbo hilo la Misenyi.Huko Iringa Mjini aliyekuwa Katibu Mkuu wa TFF Bwana Fredrick Mwakalebela amemshinda aliyekuwa Mbunge Mama Monica Mbega.
Katika Kinyang'anyiro cha mwaka huu ni Wabunge Wanne tu ambao wamepita bila kuwa na Wapinzani,Wabunge hao wa CCM ni Mizengo Pinda,Benard Membe,Aggrey Mwanri na Ezekiel Maige.
jamani kinondoni nani kapita??...i wish shemeji yangu kawagalagaza wapinzani wake
Matokeo yaliyoanza kuja kwa kura za maoni jimbo la Kyela;
Tawi la Bondeni-Kyela Mjini;Dr Mwakyembe 220 anayemfuatia kwa karibu Elias Mwanjala kura 6
Tawi la Mikumi-Kyela mjini;Dr Mwakyembe 176,wa pili Elias Mwanjala kura 4
Tawi la Bwawani-Kyela mjini;Dr Mwakyembe 95 mpinzani wake wa karibu Elias Mwanjala kapata 15
Matokeo mengine Afande Samwel atazidi kuyaleta!