Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

mhe. sitta amepita kwa kura nyingi ilihali bwana selelii ni kama anadondoka pia chiligati hali yake ni mbaya amebanwa mbavu ile balaa.
 
Hizi habari mnazipata wapi Jamani? For your information, Prof. Mwakyusa ameshinda kwa kura nyingi tu. Subiri official news in a few hours time.


Swali ulilouliza Mkuu ni la msingi sana. Kuna wakati sijui nani tumuamini katika thread hii. I wish kungekua na moderator au anayetoa taarifa angalau atoe na uthibitisho wa data - mgawanyiko wa kura ulivyo, ili tujue habari ipi ni sahihi na ipi si sahihi. Mara ameshinda huyu mara huyo huyo ameshindwa.
 
Magazeti ya GPL leo sijaona yakiandika habari za Shigongo tofauti na ilivyozoeleka wiki nzima iliyopita. Nani ana matokeo ya Buchosa?
 

Kumbe kuna wengine wanatumiminia upupu humu? Mimi nadhani nasom news za uhakika kumbe za kuundwa?! jamani tuwe serious smetimes
 
Mungai imekueje? Ila Mwakalebela si alitoa rushwa sana huyu?
 
Hiloooooo linaona haya hilooooo

Wewe unayejifanya Sikonge ndiye huyo huyo Afande Sele matusi kwenu ni kama chai sikushangai.

Mwakalinga asimlaumu mtu mchawi wake ni nyie ndugu zake mmemwangusha hamjui siasa zinavyoendeshwa badala ya kujikita jimboni mkabaki kutukana watu na kuwatungia CV za uongo.

Nilimwambia kaka yenu atausikia ubunge kwenye redio kipindi cha bungeni leo mwambieni arudi kubeba mabox sijui aliomba likizo au alitoroka alikwina.
 
malaria sugu yupo wapi jamani nataka mawazo yake kwenye huu uchafu wa ccm.
 
Uchaguzi wa CCM ,burudani tosha tusubiri kikaango cha Chimwaga
 
Vipi MASANILO nae ameshinda?
 
Jamani mwenye habari za Ulanga Magharibi, msaada tafadhali!! Kwa Mzee Masako huko.:A S shade:
 
Magazeti ya GPL leo sijaona yakiandika habari za Shigongo tofauti na ilivyozoeleka wiki nzima iliyopita. Nani ana matokeo ya Buchosa?

Ukiona hivyo jamaa kadondokea pua, siasa zinawenyewe mkuu....
 
inasemekana hali yake ni mbaya sana.
 
Matokeo hadi saa sita usiku;

Dr Harrison Mwakyembe kura 7,681
George Mwakalinga kura 574
Elias Mwanjala
 
Haya ni matokeo hadi saa sita usiku jana

Dr Harrison Mwakyembe- 7681
George Mwakalinga-574
Elias Mwanjala 512
Elius Mwakalinga 404
Rhoda Mwanjala 171
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…