Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona leo unaongea kwa unyonge sana si kawaida yako kama wakati ule mnatupa CV ya nani vile.....Huwa hatuna HARAKA na habari kama hizi. Ukweli ukifahamika, nitakuja hapa KUMPA HONGERA MSHINDI.
Haya ni mashindano tu na Demokrasia inataka mmoja ashinde na wengine washindwe. Kama mtu alifikiri nitataka Mwakalinga ashinde kwa NGUVU basi anafanya makosa makubwa sana kwani mie siyo Dictator. Kama Mwakalinga kashinda, HONGERA ZAKE na kama Mwakyembe kashinda basi HONGERA ZAKE. Kama Mwanjala kashinda pia HONGERA ZAKE.
LIFE GOES ON. Asiyekubali kushindwa si MSHINDANI. Ila siamini kuwa Mwakalinga amekuwa wa TATU.
mama kilango ameshinda
Mwakalinga je? Kwishnei au?
Mbona leo unaongea kwa unyonge sana si kawaida yako kama wakati ule mnatupa CV ya nani vile.....
QuinineSenior Member Join Date Mon Jul 2010![]()
Posts 93
Thanks : 1
Thanked 21 Times in 13 Posts
Mkuu, naona umejiunga mwezi huu tu na hizi CV zilikuwa zinawekwa mwaka huu mwanzoni. Unaonaje ukirudi kwa jina lako la zamani?
Anayeongea kwa unyonge ni nani? Unataka nikutukane ndiyo uone siyo mnyonge? Lione, bichwa ka VX 6 la Kikwete. Are you happy now?
Watu wengine bana, imekaa kama Wabeba Zege. Usipolitukana, wala halikuheshimu. Hii mitani yangu Minyakyusa, sijui niifanyaje.....?
Ngoja Ngosha nikajilie Matobolwa yangu. Mwaka huu ni matamu nyie, heheheeee, Nyani Ngabu huko USA uliye tu.
Bashe kishambwaga Selelii!Bashe anaongoza mjini