UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Wanapenda mabadiliko.
Hapa ni maalum kwa ajili ya kupata matokeo ya Bunge la Katiba.
Nimebaini kuna wadau wetu wengi sana wanakosa pahala maalum kwa ajili ya kufuatilia kuhusu 2/3 na matokeo kwa ujumla ya Bunge L katiba
Kwa kuanza tuwekeni majina ya wale wote waliopiga kura ya wazi na kura ya siri.
Karibuni wote.