Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,016
- 6,310
Mara nyingine acheni utani kwenye mambo ya msingi,
ZITTO alisema yeye ni UKAWA
Akiongea na kipindi cha mkasi ZITTO alisema yeye sio UKAWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingine acheni utani kwenye mambo ya msingi,
ZITTO alisema yeye ni UKAWA
ZITTO aliwakana UKAWA JAPO Alisema Awali Aliunga Mkono SERIKALI 2 ila baada ya Kusikiliza Presentation ya Tume Amebadili Mawazo na Kuunga Mkono 3 ila si UKAWA Angekuwa nao Angeshiriki HARAKATI ZAO[/QUOTE][QUO TE=Duble Chris;10744423]Mara nyingine acheni utani kwenye mambo ya msingi,
ZITTO alisema yeye ni UKAWA
Hawa hapa hawakuwepo bungeni lakini sio ukawa:
1. Deo Filikunjombe
2. Esther Bulaya
3. Kangi Lugora
4. Zitto Kabwe
Mara nyingine acheni utani kwenye mambo ya msingi,
ZITTO alisema yeye ni UKAWA
Jumla ya Wabunge wote wa
Bunge la Katiba = 629
Tanganyika = 412
Zanzibar = 217
2/3 ya 217 = 145
1/3 ya 217 = 72
Kuinyima Rasimu ya Vijisenti 2/3
ya Zanzibar zilitakiwa zaidi ya
kura 72 (kwa maana zikipatikana
73 hapana 2/3 ya Zanzibar)
Sasa hesabuni nyiye miongoni
mwa 217 za Zanzibar:
Wawakilishi wa CUF = 33
Wabunge wa CUF ZNZ = 25
Wabunge wa Chadema ZNZ = 4
Wana UKAWA walotoka ZNZ
miongoni mwa 67 = 5
Walopiga wazi HAPANA leo = 8
Jumla = 75
Kuinyima two thirds ya Zanzibar
ilitakiwa anything above 72.
Hapa pana 75
Sasa tuchukulie hesabu alotoa
Sitta (kwa nilivyoambiwa)
kwamba Wazanzibari ni 210 kwa
hivyo two thirds ni 140.
Inaaminika kafanya hivi ili
kupata urahisi wa 140 badala ya
145. Lakini kwa hesabu hiyo hiyo
kasahau kwamba kama
Wazanzibari ni 210 basi anything
above 70 ni kukosa two thirds.
Sasa kama tayari tuna 75 maana
yake two thirds ndo haipo
kabisa.
Sasa Leo bunge linaendelea la nini wakati inajulikana kabisa imeshashindikana tayari
MIKASI ndiyo kipindi gani?Akiongea na kipindi cha mkasi ZITTO alisema yeye sio UKAWA
MIKASI ndiyo kipindi gani?
MIKASI ndiyo kipindi gani?
Sio MIKASI ni MKASI, ni kipindi kinachoendeshwa na dada SALAMA Jabir kwenye Ting ya vijana...una swali lingine...?