GE2025 Matokeo ya Kura za Maoni Kongwa Isaya Mngulumi Kawagalagaza wenzake

GE2025 Matokeo ya Kura za Maoni Kongwa Isaya Mngulumi Kawagalagaza wenzake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mtotofisi

Member
Joined
Aug 24, 2020
Posts
27
Reaction score
47
Kwenye Uchaguzi wa kura za maoni CCM kwenye Jimbo la Hayati Job Yustino Ndugai, matokeo yaliyotangazwa na Karibu wa CCM wilaya ya Kongwa dr Isaya Moses Mngulumi amewashinda makada 12 Kwa kupata kura 4,436 SAWA na Asilimia 45.26 akifatiwa na Dr Samora mshang'a aliyepata kura 2,834 swa na Asilimia 28.92.
Ikumbukwe kuwa Isaya Mngulumi alikuwa ni mshindi wa pili katika Uchaguzi uliofanyikatarehe 4 agosti ambapo marehemu Ndugai aliongoza Kwa asilimia 53.2

TATHIMI YA KURA ZA MAONI ZA UBUNGE NDANI YA JIMBO LA KONGWA

Jumla ya kura ni 9801
1. Fadhili C Bwagalilo. 96 sawa na 0.98%
2. Robi R Gairigi 97 sawa na 0.99%
3. Baraka D mkanwa 120 sawa na 1.22%
4. Michael G Chidaga 160 sawa na 1.63%
5. Dr Rose Mbijima. 164 sawa na 1.67%
6. Ngaya D Mazanda 167 sawa na 1.70%
7. Balozi Mbennah. 181 sawa na 1.85%
8. Philip E Chiwanga 210 sawa na 2.14%
9. Henry Msunga 212 sawa na 2.16%
10. Dr Simon Ngatunga 508 sawa na 5.18%
11. Elias Mdao. 616 sawa na 6.29%
12. Dr Samora mshang'a 2834 sawa na 28.92%
13.Isaya Mngurumi. 4436 sawa na 45.26%
 
Sawa tu. Muhimu ndugai kaondoka
 
Back
Top Bottom