msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 379
Kaka Maandalizi yanatakiwa kuanza from GrassRoot.
Pia tuwe na League ya open, mwenye uwezo awe bingwa
Unaifahamu League hii vizuri? Ushacheza mpira kuanzia dv 2,1,Au premier?Kwa sasa nani ana uwezo na hajawa bingwa?
Jibu swali nani ana sifa za kuwa bingwa na hajawa bingwa kwa sababu za figisu?Unaifahamu League hii vizuri? Ushacheza mpira kuanzia dv 2,1,Au premier?
Kaka uko akufai kabisa, ukiwa nje Haujajuha chochote
Hatuwezi kuelewana, EndeleaJibu swali nani ana sifa za kuwa bingwa na hajawa bingwa kwa sababu za figisu?
Jibu swali.
Hatuwezi kuelewana, Endelea
"Mwenye uwezo awe bingwa" nataka unipe mfano hai wa hayo maneno nani aliwahi kuwa na uwezo wa ubingwa akakosa?Kaka Maandalizi yanatakiwa kuanza from GrassRoot.
Pia tuwe na League ya open, mwenye uwezo awe bingwa
Njia za kupata hizo points ungezijuha usingebisha. Uwezo mdogo magumashi kibao, Unakumbuka sakata LA Ulimboka mwakingwe na KADO?"Mwenye uwezo awe bingwa" nataka unipe mfano hai wa hayo maneno nani aliwahi kuwa na uwezo wa ubingwa akakosa?
Ubingwa ni points sio uwezo.
Hapa Hakuna mpira hapa, Ubabaishaji Tu,Thats why Tukifika sehemu za Haki na Usawa Hatuna ujanja tunaangukia PuaMazubuti? Hiyo mikakati gani tena! [emoji15]
Njia za kupata hizo points ungezijuha usingebisha. Uwezo mdogo magumashi kibao, Unakumbuka sakata LA Ulimboka mwakingwe na KADO?
WAKATI kado Yuko mtibwa?
kwa huu uandishi wacha tuwe na ligi mbovu!Tusitegemee Team zetu za Taifa za Level zote ziwe Bora wakati Hatuna league ambayo Iko Fair.
Hapo hapo Idadi kubwa ya Wachezaji wanatoka Domestic League.
......Bila mkakati mazubuti Tutafungwa hata na Somalia na Djibouti.
..Soka Alitaki ubabaishaji, it's all About Fact
hahahaaa yanga ana mechi 3 mkononi.......... hii ligi ya kipuuzi snKaka Maandalizi yanatakiwa kuanza from GrassRoot.
Pia tuwe na League ya open, mwenye uwezo awe bingwa
Asante mkuuTusitegemee Team zetu za Taifa za Level zote ziwe Bora wakati Hatuna league ambayo Iko Fair.
Hapo hapo Idadi kubwa ya Wachezaji wanatoka Domestic League.
......Bila mkakati mazubuti Tutafungwa hata na Somalia na Djibouti.
..Soka Alitaki ubabaishaji, it's all About Fact
Acha kurukaruka wewe,umeulizwa na anauwezo na hajawa Bingwa?Unaifahamu League hii vizuri? Ushacheza mpira kuanzia dv 2,1,Au premier?
Kaka uko akufai kabisa, ukiwa nje Haujajuha chochote
Kwani huko Ulaya hakuna mambo kama haya Timu kuwa na viporo mkononi?kwa huu uandishi wacha tuwe na ligi mbovu!