msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 379
Tusitegemee Team zetu za Taifa za Level zote ziwe Bora wakati Hatuna league ambayo Iko Fair.
Hapo hapo Idadi kubwa ya Wachezaji wanatoka Domestic League.
......Bila mkakati mazubuti Tutafungwa hata na Somalia na Djibouti.
..Soka Alitaki ubabaishaji, it's all About Fact