Matokeo ya lulu kidato cha nne haya hapa

Nakuunga mkono, hiyo shule ni mbovu sana, wana wanafunzi 19 na wameshindwa kupata hata div 3. Kwa kawaida ukiwa na wanafunzi wachache ina maana unaweza kuwapa attention ya karibu zaidi, hizi zitakuwa zile shule ili mradi.

Utakuta wengi wa wanafunzi ni type ya lulu kitabia unadhani utapata lolote?
 
matokeo ya LULU yanatuhusu nini, acha zako
 

acha mambo ya kitoto umekuwa sasa mtu mzima na ndevu kwenye nnya
 

You are right, hakuna aliyekamilika. Lakini kutokamilika kuwe within acceptable limits!!! Huyu alikwenda kwenye extremes ndio maana analaumiwa. At this tender age ameshakubuhu kwa wanaume na behaviour ya kikubwa kuliko hata wakubwa!!!!
 
Hehehe
Huwa namsikia akiishia Yes, No bila kuongeza maneno mengine kumbe ana Bendera ktk kingereza

Kwa matokeo hayo kulikuwa hakuna Future ktk mkondo wa elimu zaidi ya Maigizo na Mtikisiko wa ubongo

Future ilikuwepo bana, huoni kwamba ni matatizo ya shule badala ya wanafunzi?, hata hivyo yuko ndani ya top 10!!
 
MMhhhhh....!chief sasa kuna hypothesis gani hapo....au nimesahau maana ya hilo neno????
 
:spy:
[MENTION][JFMP3]
  • Amejitahidi sana. Bado moja tuu angegonga "0".


[/JFMP3][/MENTION]
 
Hehehe
Huwa namsikia akiishia Yes, No bila kuongeza maneno mengine kumbe ana Bendera ktk kingereza

Kwa matokeo hayo kulikuwa hakuna Future ktk mkondo wa elimu zaidi ya Maigizo na Mtikisiko wa ubongo
Vip lakini kimaisha, kati ya we ulopata ma A na ma B+ na yeye mwenye D na F. Life is about Talent and not A's.
 

You are wise brother. 😛eace:
 
Kwa akili ya yule mtoto angefaulu hata kwa DIV III ningeenda ku-appeal NECTA.
 
Wenye busara hujadili vitu bali WAPUMBAVU hujadili watu!. Napita..... Waitre ndovu moto pleaseee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…