Matokeo ya lulu kidato cha nne haya hapa

Inatosha, ila inabidi ajue kua ni muhim kumshika sana elimu maana ndo rafiki mwema na sio pesa,pesa n rafiki wa muda mfupi sana.
 
Pia huwa anapenda kusema neno 'actually'!
Hehehe
Huwa namsikia akiishia Yes, No bila kuongeza maneno mengine kumbe ana Bendera ktk kingereza

Kwa matokeo hayo kulikuwa hakuna Future ktk mkondo wa elimu zaidi ya Maigizo na Mtikisiko wa ubongo
 
Nako kalikuwa kakipanga ka darasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…