Matokeo ya Mashindano ya Bao

Matokeo ya Mashindano ya Bao

Nino

Member
Joined
Jun 21, 2007
Posts
38
Reaction score
1
Mabibi na Mabwana,

Ni furaha kuu kwangu kutoa matokeo ya Mashindano ya Kimataifa ya Bao yaliyofanyika tarehe 21-22 novemba, Torino, Italia.

baotorino11K20.jpg


Tumeendesha mashindano ya vilabu, ambavyo kila kimoja kinasajili wachezaji watatu, na mashindano ya mchezaji mmoja mmoja

Matokeo ya mashindano ya mchezaji mmoja mmoja:

1 Laurien Holtjer (Uholanzi)
2 Luca Borgesa (Italia)
3 Koen Moons (Uholanzi)

Klabu cha Uholanzi kilishinda klabu cha Italia (6-3).

baotorino2K20.jpg


Taarifa nyingine: www.kibao.org/dalvivo.php?lng=sw

Wachezaji wanane kutoka Tanzania walijiandaa kushiriki lakini wameshindwa kupata viza.
Tunasikitika sana kwamba hata Mtanzania mmoja kutoka Italia hakuweza kushiriki!
Mwakani mashindano yataendeshwa Uholanzi, ni matumaini yangu Watanzania waweze kushiriki.

Cheza pamoja nasi: www.kibao.org
 
Back
Top Bottom