Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Homa ya pambano la watani wa jadi inazidi kupanda ni Jumamsoi hii, Machi 08, 2025. Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Simba SC.
Leo tutazame head to head katika mechi zao katika mwezi March. Katika michezo 9 Yanga SC ameshida mechi 3, Simba SC ameshinda mechi 1, sare mechi 5. Haya sasa March 8,2025 nani atatoboa?
πΉ Machi 10, 1968 β π‘ Yanga 1-0 Simba SC
πΉ Machi 10, 1984 β π€ Yanga 1-1 Simba SC
πΉ Machi 15, 1984 β π€ Yanga 1-1 Simba SC
πΉ Machi 27, 1993 β π‘ Yanga 2-1 Simba SC
πΉ Machi 18, 1995 β π€ Simba 0-0 Yanga SC
πΉ Machi 26, 2006 β π€ Simba 0-0 Yanga SC
πΉ Machi 05, 2011 β π€ Simba 1-1 Yanga SC
πΉ Machi 08, 2015 β π΄ Simba 1-0 Yanga SC
πΉ Machi 08, 2020 β π‘ Yanga SC 1-0 Simba SC