Matokeo ya mechi ya Watani wa Jadi Yanga SC vs Simba SC Mwezi Machi

Matokeo ya mechi ya Watani wa Jadi Yanga SC vs Simba SC Mwezi Machi

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Homa ya pambano la watani wa jadi inazidi kupanda ni Jumamsoi hii, Machi 08, 2025. Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Simba SC.

Leo tutazame head to head katika mechi zao katika mwezi March. Katika michezo 9 Yanga SC ameshida mechi 3, Simba SC ameshinda mechi 1, sare mechi 5. Haya sasa March 8,2025 nani atatoboa?

🔹 Machi 10, 1968 – 🟡 Yanga 1-0 Simba SC
🔹 Machi 10, 1984 – 🤝 Yanga 1-1 Simba SC
🔹 Machi 15, 1984 – 🤝 Yanga 1-1 Simba SC
🔹 Machi 27, 1993 – 🟡 Yanga 2-1 Simba SC
🔹 Machi 18, 1995 – 🤝 Simba 0-0 Yanga SC
🔹 Machi 26, 2006 – 🤝 Simba 0-0 Yanga SC
🔹 Machi 05, 2011 – 🤝 Simba 1-1 Yanga SC
🔹 Machi 08, 2015 – 🔴 Simba 1-0 Yanga SC
🔹 Machi 08, 2020 – 🟡 Yanga SC 1-0 Simba SC
 
Nawaonea huruma Kolosfaxien
 
Simba akipigwa watu 100 wa mwanzo kureply nitawanunulia bundle.
 
Back
Top Bottom