Matokeo ya mtihani kidato IV Jumapili

Status
Not open for further replies.
Matokeo kutangazwa JUMAPILI.

Hiyo ni nyota njema na bora wayatoe tujue tunachopaswa kufanya na tumevuna nini.
 
Ni bonge la shoo mwaka 2015 itakayofanyika katika uwanja wa NECTA weekend hii, kutakua na wasanii mbalimbali wakiwemo wasanii kama Eng, kiswa, Hist, Geog, Chem, Phy, B/k, Com, Civ, Bios wakisindikizwa na msanii maarufu duniani Basic Mathematics.

Nibonge la show usikose ni jumapili ya tareh 15/2/2015.kiingilio ni MB zako tu. mnakaribishwa sana.....
 
Shake Money

Hujui kuwa kuna baba zako na mama zako waliorisiti nao wanayasubiri tena hayo matokeo?

Au wewe unajua form four wote ni wadogo zako?
 
Last edited by a moderator:
Huyo anayesema matokeo huwa yanatoka april sijui yeye hajawahi kufanya huo mtihani.
 
Hujui kuwa kuna baba zako na mama zako waliorisiti nao wanayasubiri tena hayo matokeo? Au wewe unajua form four wote ni wadogo zako?

Poleni kwa kuchanganywa na wahusika kamili. kipindi chenu kilikuwa kimeshapita lakini. btw, tunapotangaza ufaulu wa matokeo ya kidato cha nne huwa hatujumlishi na ninyi wazazi wetu ambao mnarudia mitihani.

Kama si kweli unaweza leta ushahidi hapa huwa mnachangia % ya ufaulu kivipi Rt. Rev. mkuu pole kwa kuchanganywa na kundi la watoto katika box moja.
 

Nani mzazi wako? Huo ushahidi unaoutaka wewe wa nini?
 
Nani mzazi wako? Huo ushahidi unaoutaka wewe wa nini?

Sidhani kama matokeo yenu (Resitters) huwa yanachangia kivyovyote katika kuongeza ama kupunguza ufaulu. Kwanza nyie sio school candidates, basi tu mnatuchanganyia matokeo.

pole.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…