Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kuwa kuna baba zako na mama zako waliorisiti nao wanayasubiri tena hayo matokeo? Au wewe unajua form four wote ni wadogo zako?
teh teh
Hujui kuwa kuna baba zako na mama zako waliorisiti nao wanayasubiri tena hayo matokeo? Au wewe unajua form four wote ni wadogo zako?
Poleni kwa kuchanganywa na wahusika kamili. kipindi chenu kilikuwa kimeshapita lakini. btw, tunapotangaza ufaulu wa matokeo ya kidato cha nne huwa hatujumlishi na ninyi wazazi wetu ambao mnarudia mitihani.
Kama si kweli unaweza leta ushahidi hapa huwa mnachangia % ya ufaulu kivipi! Rt. Rev. mkuu pole kwa kuchanganywa na kundi la watoto katika box moja.
Nani mzazi wako? Huo ushahidi unaoutaka wewe wa nini?