Katibu wa baraza la mtihani ameyatangaza matokeo ya darasa la saba mwaka huu 2015 kiwango cha ufaulu kimeongezeka kutoka 62 hadi 67 asilimia.somo la kiswahili ndo linaloongoza kwa ufaulu huku kiingereza ndo ya mwisho kwa ufaulu.
Soma pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008
Soma pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008
- Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2008
- Matokeo ya darasa la Saba 2014 yatangazwa, mkoa wa Dar es Salaam waongoza