Ighombe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 1,181
- 675
jamii forum juuu!! Ahsante sana kwa kutuwekea link.katibu wa baraza la mtihani ameyatangaza matokeo ya darasa la saba mwaka huu 2015 kiwango cha ufaulu kimeongezeka kutoka 62 hadi 67 asilimia.somo la kiswahili ndo linaloongoza kwa ufaulu huku kiingereza ndo ya mwisho kwa ufaulu.
bofya hapa kuona matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2015
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()