Matokeo ya Mtihani wa Darasa la saba mwaka 2015 yatangazwa

UGORO87

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
824
Reaction score
382

Attachments

  • 1 (1).jpg
    87.2 KB · Views: 67,983
  • 2 (1).jpg
    95.6 KB · Views: 66,637
  • 3 (1).jpg
    87.6 KB · Views: 66,372
  • 4 (1).jpg
    82.8 KB · Views: 66,127
  • 5.jpg
    78.1 KB · Views: 65,824
  • 6.jpg
    111 KB · Views: 65,759
  • 7.jpg
    87.4 KB · Views: 96,808
Andaeni ada, ahadi ya rais mteule ya elimu bure hadi sekondari asipoitekeleza ni kuisoma namba tu.
 
Niatajie jina la shule, mkoa, wilaya na jina la mwanafunzi
aliyehitimu darasa la saba nikupatie ufaulu wake.
Kwa ufupi hiyo ndio summary ya ufaulu katika mtihani huo
wa darasa la saba.



 
St. Caroli shule niliyosoma PS naona ipo 10 bora. Darasa letu pia lilikuwa 10 bora.
 
Niangalizie shule barakta karatu.plse0103002
 
siku hizi hakuna kufeli, ukiona mwanao kafeli mtihani wa darasa la saba ujue ni mbumbumbu wa mwisho!
 
Tunaish katka nch ambayo ukiwa mwanaccm bas kila k2 hakwezekan, nch za kgen kama hawajafanya k2 fulan bas hata cc hatuwez, umaskn n hak ya watz, kwel? Mbona nch za nje hawakall kwenye masomo?
 
Niangalizie shule barakta karatu.plse0103002
[h=3]BARAKTA PRIMARY SCHOOL - P0103002
[/h]WALIOFANYA MTIHANI : 47
WASTANI WA SHULE : 116.2128
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 46 kati ya 101
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 395 kati ya 603
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 8093 kati ya 16096
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…