Ighombe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 1,181 Reaction score 675 Oct 31, 2015 #21 ugoro87 said: katibu wa baraza la mtihani ameyatangaza matokeo ya darasa la saba mwaka huu 2015 kiwango cha ufaulu kimeongezeka kutoka 62 hadi 67 asilimia.somo la kiswahili ndo linaloongoza kwa ufaulu huku kiingereza ndo ya mwisho kwa ufaulu. bofya hapa kuona matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2015 Click to expand... jamii forum juuu!! Ahsante sana kwa kutuwekea link.
ugoro87 said: katibu wa baraza la mtihani ameyatangaza matokeo ya darasa la saba mwaka huu 2015 kiwango cha ufaulu kimeongezeka kutoka 62 hadi 67 asilimia.somo la kiswahili ndo linaloongoza kwa ufaulu huku kiingereza ndo ya mwisho kwa ufaulu. bofya hapa kuona matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2015 Click to expand... jamii forum juuu!! Ahsante sana kwa kutuwekea link.
D dikai Senior Member Joined May 24, 2015 Posts 125 Reaction score 7 Nov 1, 2015 #22 vipi mwenye grade D anaenda sekondari
D DeusBiz New Member Joined Aug 24, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Jan 12, 2017 #23 Jaman naulizia kuwa kama naweza pata matokeo ya darasa la saba 2007,kama mtu ana link yoyote atume basi nina shida nayo sana
Jaman naulizia kuwa kama naweza pata matokeo ya darasa la saba 2007,kama mtu ana link yoyote atume basi nina shida nayo sana