Inawezekana wamekutana na sintofahamu kwa hiyo wameficha ili kupata clarification, wakijiridhisha wataachia. sintofahamu inawezekana mtihani wake umekutwa na mlungula, au labda alijibu matusi akatukana msahishaji, au vinginevyo. Kwa hiyo wakijua kuna mawili, either wafute matokeo au waachie matokeo.