G gashambala uwezo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2014 Posts 485 Reaction score 67 Feb 21, 2014 #1 Mwanangu alimalizia shule ya sekondali ngw'anza lakini , matokeo yake hayaonekani tafadhari mwenye namba yake ya mtihani ni 14, ameandikiwa hivi *E ... basi please mwenye kujua naomba anijuze.
Mwanangu alimalizia shule ya sekondali ngw'anza lakini , matokeo yake hayaonekani tafadhari mwenye namba yake ya mtihani ni 14, ameandikiwa hivi *E ... basi please mwenye kujua naomba anijuze.
K kataleya JF-Expert Member Joined Dec 9, 2012 Posts 223 Reaction score 53 Feb 21, 2014 #2 Cheki Necta wameweka mchanganuo wa hizo alama
Wazo la kabwela JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1,812 Reaction score 1,373 Feb 21, 2014 #3 hajalipa hela ya paper!