Achana na kilaza asiyeelewa kauli zake mwenyewe...Ukimuuliza sasa hivi juu ya hiyo kauli atakwambia ulimnukuu vibaya!yuko wapi Makamba na 85% yake.
Kama NEC itasema kashinda kwa asilimia 'X' ni sahihi kabisa, kama mtanzania mwingine anabisha, yeye zake alizokusanya atueleze ni ngapi na sio kupiga mikelele tu! Tumechoka, thanks
Ni asilimia ngapi ya watanzania wamemchagua rais? Hii nafikiri inabidi kujadiliwa pia. Je shimbo na wenzake na wamehusika kusababisha watu wasipige kura?
Kama NEC itasema kashinda kwa asilimia 'X' ni sahihi kabisa, kama mtanzania mwingine anabisha, yeye zake alizokusanya atueleze ni ngapi na sio kupiga mikelele tu! Tumechoka, thanks
Penye red: Wananchi wengi wana hofu kwamba pindi atakapomaliza mwaka 2015, bei ya sukari itakuwa sh 8,000/- kwa kilo. Mwaka 2005 aliikuta sukari ikiuzwa sh 450/- kwa kilo na sasa imefikia karibu 2,000/- kwa kilo.
Hiyo ni sababu mojawapo ya yeye kukataliwa na wengi mwaka huu.
kama nec itasema kashinda kwa asilimia 'x' ni sahihi kabisa, kama mtanzania mwingine anabisha, yeye zake alizokusanya atueleze ni ngapi na sio kupiga mikelele tu! Tumechoka, thanks
Dr.Slaa umeshinda kilichotokea tumeibiwa. hizo kura za CCM ni za kubuni tu. Kama walijua watachakachua kulikuwa na ulazima gani wa kutumia resources za nchi kiasi hiki. Usalama wa TAifa mmeonyesha ninyi ni machumia tumbo. Mna ndugu waliomasikini na wanahitaji kiongozi serious lakini mmezika ndoto zao. Lawama hizi ziwafikie popote mlipo. Nguvu ya umma inakuja kwa nguvu zote 2015.
Why waste your time discussing lies? Haya siyo matokeo ya kura ila ni matokeo ya vijana waliokuwa na miraji kikwete pale upanga wakiaandaa matokeo yao. Unfortunately wakilipwa sh. 46 millions per day ili watengeneze matokeo hayo. watanzania amkeni. Amini Kiwete raisi wa wapiga kura wa upanga atavuruga hii nchi kifisadi kwani anajua harudi tena kuomba kura kweni. Shame upon him Jambazi hili linaloshirikiana na maswahiba wake aliowaweka ili walitetee.