Matokeo ya National Std 4 na Form 2 kutoka kabla ya Krismasi?

Rusumo one

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
3,458
Reaction score
4,283
Marhabaa wajukuu zangu kwa salama zenu, nirudi kwenye mada tajwa.

Naskia sikia muda wowote kinasomeka ili sikukuuu ya Xmas mwenye kula pilau ale na mwenye kula ngarerimo ale kila mtu atakuwa na lake moyani.

Hivi Msonde anafanya nini kutucheleweshea majibu ili wajukuu wafurahi na kupata nguo za sikukuu? Necta hoye
 
Vuta subira.

Msonde ni mtu makini sana.
 
Kusahihisha wanamaliza dec 28. Sasa matokeo tegemea siku 14 baada ya kusahhsha.
 
Back
Top Bottom