Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Jaza jibu lililo sahihi Kati ya hayo uliyoorodheshaWewe ni standard four au form 2?
Vuta subira.Marhabaa wajukuu zangu kwa salama zenu, nirudi kwenye mada tajwa.
Naskia sikia muda wowote kinasomeka ili sikukuuu ya Xmas mwenye kula pilau ale na mwenye kula ngarerimo ale kila mtu atakuwa na lake moyani.
Hivi Msonde anafanya nini kutucheleweshea majibu ili wajukuu wafurahi na kupata nguo za sikukuu? Necta hoye
Jaza jibu lililo sahihi Kati ya hayo uliyoorodheshaWewe ni standard four au form 2?
Sawa mjukuu wangu ubakiriwe sanuuuVuta subira.
Msonde ni mtu makini sana.
Mmmmhhh!!Kusahihisha wanamaliza dec 28. Sasa matokeo tegemea siku 14 baada ya kusahhsha.
So by 10 to 12 Jan 22Mmmmhhh!!
Ha haJaza jibu lililo sahihi Kati ya hayo uliyoorodhesha