Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona matokeo yameshatoka leo?
Tatizo ni kwamba nyie mnayasubiri kwenye tovuti ya necta.....
Kaulizieni matokeo shuleni.
Hamna wewe usidanganye watu,wengine wana presha na watoto waoMbona matokeo yameshatoka leo?
Tatizo ni kwamba nyie mnayasubiri kwenye tovuti ya necta.....
Kaulizieni matokeo shuleni.
Hamna wewe usidanganye watu,wengine wana presha na watoto wao
asante kwa taarifa mkuu, nina mdgo wng alkuwa ananisumbua sana..Ndugu mie ni mwalimu na ninaongea jambo ninalolijua.... Kama mtu ana presha si ndio wakati wa kutumia walimu wakuu? Mitandao haina majibu yote......
asante kwa taarifa mkuu, nina mdgo wng alkuwa ananisumbua sana..
Haya wakuu, nauliza matokeo ya NECTA ya watoto wetu wa kidato cha pili mwaka 2013, yanatoka lini? Naomba anayefahamu atupe majibu hapa, maana ninasubiri kwa hamu sana.