Matokeo ya rufaa ya Yanga.

Matokeo ya rufaa ya Yanga.

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Jamani mbona kimya,Tutaarifiane kuhusu rufaa ya wachezaji wa Yanga,au shaffi bado hajapewa matokeo? Tehe! Tehe!
 
yahoo na asprin mtakufa haraka acheni kufuatilia hii ligi ya tenga,nawaombeni sana mtaacha watoto wenu wakiteseka.
 
wakigomea ligi waifute kabisa yanga. yaani utadhani hawana akili hawa tangu lini kadi nyekundu ya uwanjani ikakatiwa rufaaa?
 
wagome kabisa na wafutwe... simba na yanga ndizo zinazokwamisha maendeleo ya soka bongo
 
wakigomea ligi waifute kabisa yanga. yaani utadhani hawana akili hawa tangu lini kadi nyekundu ya uwanjani ikakatiwa rufaaa?
nyie ndo mnaotegemea habari kutoka jf,umesikia wapi yanga wanagomea ligi au kukatia rufaa kadi,yanga wanadai kuftwa kwa sheria..acha u****laya..unakua kama demu1:A S-omg:
 
Back
Top Bottom