Uchaguzi 2020 Matokeo ya Rufaa za Udiwani zilizochambuliwa na kutolewa uamuzi na NEC

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Katika kikao chake cha tarehe 13, 2020, NEC ilipitia na kufanyia uamuzi rufaa za Wagombea Udiwani kupitia Wasimamizi mbalimbali wa #Uchaguzi nchi nzima

Tume imezipitia, kuzichambua na kuzifanyia uamuzi jumla ya rufaa 49 za Wagombea Udiwani kama ifuatavyo;

Imekubali Rufaa 24 na kuwarejesha Wagombea katika Orodha ya Wagombea Udiwani katika mchakato wa #Uchaguzi

NEC imezikataa rufaa 19 za Wagombea Udiwani ambao hawakuteuliwa
-
Aidha, imezikataa rufaa 6 za kupinga Wagombea Udiwani walioteuliwa






 
Tatizo NEC wanafanya kazi kwa mwendo wa konokono. Mpaka sasa ilitakiwa wawe wamemaliza kuoitia rufaa zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…