Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana sasa kama kawaida no discussion.... week ijayooo kuchomoaaaaa
mwenge wapi ITV au kwa wachonga vinyagoo ....au mwenge stand ndani?
hahahah
Vijana sasa kama kawaida no discussion.... week ijayooo kuchomoaaaaa
Vyuo vyenu hivi dah eti MWENGE
unakifahamu mkuu
Nakifahamu mkuu ! kipo MOSHI, si ndio moja ya vyuo vya kugawa maGPA manake kunasiku nlienda pale MWENGE nkakuta matokeo yamebandikwa kwenye noticeboard yao duh miGPA ni 4.0,4.1,4.2,4.3,4.5,4.6 za kumwagaa
kijana ayaaaa
wee jamaa utakuwa una matatizo ya ubongo wewe,,, wahitim wa mwaka gan walibandikiwa hayo matokeo?
huna lolote kwan hapo MUCCOBS ndio panakufanya udharau vyuo vingine au?
Huna lolote kwanza hapo ulipo ndio first year nakuuliza matokeo ya mwaka gan haujibu?
Wewee nilienda MWENGE nikayakuta matokeo yamebandikwa kwenye noticeboard