KWANI HII SHULE ILIKUWA YA NGAPI MWAKA JANA. Au ni miujiza ya mwaka huu tu??!! Na waalimu ni wale wale au wamehamia wengine labda.?? Haya ndio mambo ya kujiuliza
Wako 33 tu darasan ni rahisi kuwamanage isitoshe ni private school michujo mingi,quiz,test,home work,vitabu vya kutosha,walimu wenye ufaulu mkubwa na bingwa wa masomo husika, mazingira bila kusahau weekly na monthly test, mid term test si kila shule zinayafanya haya wao wameweka pembeni biashara wajaconcertrate kwenye huduma.....mawazo tu lkn!
uchunguzi ufanyike kama maswali waliyokosa ni ya aina moja hapo ndio matatizo yataanzia ila kama wamekosa maswali tofauti haina shida
ikitokea wamekosa ya aina moja wafutiwe matokeo
Haya ndiyo aina ya comments nilizokua nikizitarajia malimba !
Umekwenda direct kwenye hoja mezani , yeyote anaesoma mawazo yako anakuelewa ulipita shule .
Unamuelewa vipi hapa anaekuja kujadili Umajimbo, Ukanda , Ukabila sijui Udini !
Eti mtu mzima ananihoji "unauliza kwa vile shule ya mkoa wa Mara! Ingekua ya Dar au Kilimanjaro tungekaa kimya"
muflisi wa mawazo humu sijui kwa nini hawaishagi .
Perry !
Kua na mawazo huru!
Hapa tunadiscus Elimu , agenda hapa si Ukanda, Ukabila , Udini , Usiasa n.k
Issue ya Kilimanjaro sijui Dar si mada yangu hapa ni Kitanzania.
Neno "mysterious" kwangu mie ktk issue kama hizi ndipo huchukua maada .
Distrust or lack of sureness of an alleged fact haiepukiki katika maumbile yetu binadamu .
Hebu fuatana nami mguu kwa mguu tuperuzi mafanikio ya shule husika 2014.
Twibhoki primary school , inayopatikana wilaya ya Serengeti mkoani Mara .
Shule inayokwenda na nambari ya usajili P-0904095 .
Jumla ya candidate waliyofanya mtihani mwaka 2014 ni 33 .
Kiwilaya imekua ya 1 kati ya shule 105 .
Kimkoa imekua ya 1 kati ya shule 723 .
Kitaifa imekua ya 1 kati ya shule 15867 .
Wanafunzi wote 33 wamepiga alama "A" katika kila somo .
Masomo ni matano yaliyofanyiwa mtihani .
Hivyo kila candidate amejilambia "A" zake 5 .
Hivyo kufanya 33 x 5 = 165 .
Alama "A" 165 zimezalishwa .
Na upande wa position ya Average grade napo wote wamejipigia grade "A" , na kuzalisha jumla ya grade "A" 33 .
My doubt , nashindwa kutopata kigugumizi cha kuamini pasiwepo walau hata candidate mmoja aliyepata alama "B" au "C" aidha katika Subjects au katika Grade position .
Wadau wa bodi JF Nini mtazamo wenu katika hili ?

Ww ndo hujielewi mbona miaka mingine mikoa mingine ikiongoza huulizi upuuzi kama huu Mara kuongoza ndo uje na hoja ya kipuuzi hapa