Matokeo ya shule iliyoongoza kitaifa darasa la 7! Ndiyo imeshinda! Lakini?

Matokeo ya shule iliyoongoza kitaifa darasa la 7! Ndiyo imeshinda! Lakini?

KWANI HII SHULE ILIKUWA YA NGAPI MWAKA JANA. Au ni miujiza ya mwaka huu tu??!! Na waalimu ni wale wale au wamehamia wengine labda.?? Haya ndio mambo ya kujiuliza

Mh. Nicksixyo swali lako la kimsingi limenirudisha tena nikazame kwenye tovuti ya Necta!
Nimekuta mwaka jana 2013
Kiwilaya ilishika ya 1 out of 98 .
Kimkoa ilishika ya 1 out of 705 na
Kitaifa ya 29 out of 15656 .
Cha kunishangaza kuna wanaojadili majimbo hapa badala ya shule .
 
Last edited by a moderator:
Kuna member anaekwenda kwa username ya bantulile nimeshindwa kum'quote kwa urefu kidogo wa comments yake amegusa sana uhalisia wa Elimu ya Tanzania ilivyo.
 
Last edited by a moderator:
Wako 33 tu darasan ni rahisi kuwamanage isitoshe ni private school michujo mingi,quiz,test,home work,vitabu vya kutosha,walimu wenye ufaulu mkubwa na bingwa wa masomo husika, mazingira bila kusahau weekly na monthly test, mid term test si kila shule zinayafanya haya wao wameweka pembeni biashara wajaconcertrate kwenye huduma.....mawazo tu lkn!
 
hili linahitaji mjadala kwa kweli! hii mmitihani ya kuchagua A B C D maswali yote ni janga. mm niliangalia shule ya 6 kitaifa ST. Severine iko biharamulo ina watoto 53, wanafunzi wanne tu ndio wamepata B mojamoja nyingine zote ni A! Tusiendelee kufurahia huu mchezo ni hatari sana ukikutana na mmiliki anayeendesha shule kwa tamaa.
 
Wako 33 tu darasan ni rahisi kuwamanage isitoshe ni private school michujo mingi,quiz,test,home work,vitabu vya kutosha,walimu wenye ufaulu mkubwa na bingwa wa masomo husika, mazingira bila kusahau weekly na monthly test, mid term test si kila shule zinayafanya haya wao wameweka pembeni biashara wajaconcertrate kwenye huduma.....mawazo tu lkn!

Haya ndiyo aina ya comments nilizokua nikizitarajia malimba !
Umekwenda direct kwenye hoja mezani , yeyote anaesoma mawazo yako anakuelewa ulipita shule .
Unamuelewa vipi hapa anaekuja kujadili Umajimbo, Ukanda , Ukabila sijui Udini !
Eti mtu mzima ananihoji "unauliza kwa vile shule ya mkoa wa Mara! Ingekua ya Dar au Kilimanjaro tungekaa kimya"
muflisi wa mawazo humu sijui kwa nini hawaishagi .
 
Last edited by a moderator:
uchunguzi ufanyike kama maswali waliyokosa ni ya aina moja hapo ndio matatizo yataanzia ila kama wamekosa maswali tofauti haina shida
ikitokea wamekosa ya aina moja wafutiwe matokeo

Hii mitihani ya a b c ina changamoto zake, wanaweza kukosa swali wote kwa maelezo ya mwalimu wao darasani. Kama mwalimu akiwafundisha kua mji mkuu wa Tanzania ni dar es salaam wakiingia humo wote wanaweza kuchagua jibu linalosema hivyo tofauti na secondari ambapo majibu yanaitaji maelezo.
 
Haya ndiyo aina ya comments nilizokua nikizitarajia malimba !
Umekwenda direct kwenye hoja mezani , yeyote anaesoma mawazo yako anakuelewa ulipita shule .
Unamuelewa vipi hapa anaekuja kujadili Umajimbo, Ukanda , Ukabila sijui Udini !
Eti mtu mzima ananihoji "unauliza kwa vile shule ya mkoa wa Mara! Ingekua ya Dar au Kilimanjaro tungekaa kimya"
muflisi wa mawazo humu sijui kwa nini hawaishagi .

Judgement
Wakati mwingine ni vizur kucontrol tension zetu wkt tunajibu hoja fulan pengine walikudhan ndivyo sivyo ila kwenye suala la kufaulu inawezekana hasa walimu na mkurugenz wa shule wakiamua kufanya biashara kias na kutoa huduma zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Perry !
Kua na mawazo huru!
Hapa tunadiscus Elimu , agenda hapa si Ukanda, Ukabila , Udini , Usiasa n.k
Issue ya Kilimanjaro sijui Dar si mada yangu hapa ni Kitanzania.

hili swali lako mbona hukuliuliza mwaka jana au mwaka juzi ambapo shule za dar ziliongoza?tatizo una mentality kuwa shule za mikoani haziwez kufanya vizuri.
 
Last edited by a moderator:
ni udanganyifu mtupu unafanyika. ina maana hata mwanafunzi mmoja asitetereke akapata angalau 'b'?
 
Neno "mysterious" kwangu mie ktk issue kama hizi ndipo huchukua maada .
Distrust or lack of sureness of an alleged fact haiepukiki katika maumbile yetu binadamu .

Hebu fuatana nami mguu kwa mguu tuperuzi mafanikio ya shule husika 2014.

Twibhoki primary school , inayopatikana wilaya ya Serengeti mkoani Mara .
Shule inayokwenda na nambari ya usajili P-0904095 .

Jumla ya candidate waliyofanya mtihani mwaka 2014 ni 33 .
Kiwilaya imekua ya 1 kati ya shule 105 .
Kimkoa imekua ya 1 kati ya shule 723 .
Kitaifa imekua ya 1 kati ya shule 15867 .

Wanafunzi wote 33 wamepiga alama "A" katika kila somo .
Masomo ni matano yaliyofanyiwa mtihani .
Hivyo kila candidate amejilambia "A" zake 5 .
Hivyo kufanya 33 x 5 = 165 .
Alama "A" 165 zimezalishwa .

Na upande wa position ya Average grade napo wote wamejipigia grade "A" , na kuzalisha jumla ya grade "A" 33 .

My doubt , nashindwa kutopata kigugumizi cha kuamini pasiwepo walau hata candidate mmoja aliyepata alama "B" au "C" aidha katika Subjects au katika Grade position .

Wadau wa bodi JF Nini mtazamo wenu katika hili ?
Capture.PNG
fanya anaysis ya kutosha kabla ya kupost mkuu, matokeo ndo hayo hapo hakuna B hapo?
 
I can not conclude but i suggest this is a straight examination cheat of highest order. do you know the incentives of cheating to the pupil, the teacher and the school as well ? just a simple analysis of answers pattern can reveal this kind of cheating.
 
Ww ndo hujielewi mbona miaka mingine mikoa mingine ikiongoza huulizi upuuzi kama huu Mara kuongoza ndo uje na hoja ya kipuuzi hapa

Huwa mnanifurahisha sans hapa JF,mnaacha kujadili mada mnaanza kutupiana maneno tofauti kabisa na mada

Na mim napita naandika haya nilioandika kwani so ndo mnachotaka
 
Ufaulu wa juu unawezekana ila sio wote kupata A
hii ndio Tz kaka mi naamn ipo janja tuu hapo
 
Back
Top Bottom