Ni ngumu. Hata bila usajili mpya, Simba hawashindwi kirahisi wanapokuwa wanacheza Dar. Hata msimu uliopita Simba walifanya vzr nyumbani kuliko Yanga. Tatizo ni pale wanapocheza nje ya DarMletee mzunguuu, Geita lazima wafunge Simba goli 2 kwa 1..!! Sijawahi kukosea
Acha kukariri, leo Simba 1 - 2 Geita GoldNi ngumu. Hata bila usajili mpya, Simba hawashindwi kirahisi wanapokuwa wanacheza Dar. Hata msimu uliopita Simba walifanya vzr nyumbani kuliko Yanga. Tatizo ni pale wanapocheza nje ya Dar
Tupe ushaidi wa mechi ambayo ulisema na ikawa haukkosea ili tuamini.Mletee mzunguuu, Geita lazima wafunge Simba goli 2 kwa 1..!! Sijawahi kukosea
Tupe ushaidi wa mechi ambayo ulisema na ikawa haukkosea ili tuamini.
Toka mpate vi goli viwili ndo imekua ramli sasa kila timu impige simba mbili.hahahah Topoz bwanaAcha kukariri, leo Simba 1 - 2 Geita Gold
Simba watashanda leo. Kwa margin kubwaToka mpate vi goli viwili ndo imekua ramli sasa kila timu impige simba mbili.hahahah Topoz bwana
Tena zaidi ya goli 2Simba watashanda leo. Kwa margin kubwa
Unaumia ukiwa wapi maana siu unapenda kuiona simba ikifungwaKinachokera ni jinsi waamuzi wanavyoibeba simba siku zote
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Malizeni maneno yote huku mkikuna naziKama nawaona vile Sakho, Inonga na Chama watakavyo cheza na jukwaa! Wataupiga mwingi sana leo bila shaka.
Wakienda kucheza mechi za Mikoani sasa! Mambo yanakuwa tofauti kabisa.
magori muraaWatazifunga magori mengi timu zote
Kufungwa nyie si rahisi kwani waamuzi hufanya chochote kile ili mshinde...ndiyo timu pekee yenye penati nyingiUnaumia ukiwa wapi maana siu unapenda kuiona simba ikifungwa
Unawashwa vibaya wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kukariri, leo Simba 1 - 2 Geita Gold
Mmeanza fitinaWatazifunga magori mengi timu zote (ukiondoa) Yanga. Watasifiwa sana (kama vile watu hawajui trend yao wanapocheza nyumbani).
Lakini sidhani kama watapata matokeo mazuri (consistently) kwenye mechi za ugenini.
3 0Mletee mzunguuu, Geita lazima wafunge Simba goli 2 kwa 1..!! Sijawahi kukosea