Matokeo ya Simba kwenye mechi za nyumbani (Dar)

Matokeo ya Simba kwenye mechi za nyumbani (Dar)

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Watazifunga magori mengi timu zote (ukiondoa) Yanga. Watasifiwa sana (kama vile watu hawajui trend yao wanapocheza nyumbani).

Lakini sidhani kama watapata matokeo mazuri (consistently) kwenye mechi za ugenini.
 
Mletee mzunguuu, Geita lazima wafunge Simba goli 2 kwa 1..!! Sijawahi kukosea
 
Mletee mzunguuu, Geita lazima wafunge Simba goli 2 kwa 1..!! Sijawahi kukosea
Ni ngumu. Hata bila usajili mpya, Simba hawashindwi kirahisi wanapokuwa wanacheza Dar. Hata msimu uliopita Simba walifanya vzr nyumbani kuliko Yanga. Tatizo ni pale wanapocheza nje ya Dar
 
Ni ngumu. Hata bila usajili mpya, Simba hawashindwi kirahisi wanapokuwa wanacheza Dar. Hata msimu uliopita Simba walifanya vzr nyumbani kuliko Yanga. Tatizo ni pale wanapocheza nje ya Dar
Acha kukariri, leo Simba 1 - 2 Geita Gold
 
Hata mechi ijayo watashinda kwa kishindo. Issue ni replication ya perfomance yao kwenye AWAY games
 
Unaumia ukiwa wapi maana siu unapenda kuiona simba ikifungwa
Kufungwa nyie si rahisi kwani waamuzi hufanya chochote kile ili mshinde...ndiyo timu pekee yenye penati nyingi
Ndiyo timu pekee inayofungaga magoli mengi tata...
Ndiyo timu pekee wachezaji wake wanafanya rafu mbaya mbaya refa anapeta tu mfano uchezaji wa kanoute..amini maneno haya ifuatilie timu hii hasa ikiwa kwa mkapa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Watazifunga magori mengi timu zote (ukiondoa) Yanga. Watasifiwa sana (kama vile watu hawajui trend yao wanapocheza nyumbani).

Lakini sidhani kama watapata matokeo mazuri (consistently) kwenye mechi za ugenini.
Mmeanza fitina
 
Back
Top Bottom