pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Bado wana arosto, muda hawajapata dozi,
Mipango tu na hela hakuna mzigo umdunda
Mipango tu na hela hakuna mzigo umdunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba mechi ya away waliyoshinda ni ya Ruvu shooting ambayo ililetwa Dar es SALAAM pengine kwa uzito wa bahasha. Mechi hiyo siyo sahihi kuiita ya Ugenini.Msimu uliyopita Simba hakupata ushindi kwenye mechi nane (8) za ugenini dhidi ya; Mbeya city, Mbeya Kwanza, Prisons, Mtibwa, Azam, Kagera, Geita, Biashara na Polisi. Lakini kwa Mkapa alipata matokeo mazuri zaidi kuliko Yanga.
Simba hakushinda mechi mbili tu, dhidi ya Yanga na Coastal. Ikumbukwe Yanga haikupata matokeo mazuri kwenye mechi tatu pale kwa Mkapa, dhidi ya Simba, Prisons na Mbeya city.
Kwa upande mwingine, Yanga alishinda mechi karibu zote za nje ya Mkapa stadium. Alikosa ushindi kwenye mechi mbili tu, dhidi ya Mbeya City na Biashara.
Mwaka huu rekodi zimeanza kujirudia. Yanga wameshacheza mechi tano ugenini na wameshinda zote. Simba wao wamecheza mechi tatu na wameweza kushinda mechi moja tu.
Mwenye kuweza kuchambua kwa kina sababu zinazoweza kuwa nyuma ya mwenendo huu anakaribishwa.
Hajazungumzia ugenini kasema nje ya darNdio ugenini hiyo Mkuu
Hahahahaaaa walishinda na PrisonsSimba mechi ya away waliyoshinda ni ya Ruvu shooting ambayo ililetwa Dar es SALAAM pengine kwa uzito wa bahasha. Mechi hiyo siyo sahihi kuiita ya Ugenini.
Hivi kwenye kiungo cha Simba, ukimtoa Mkude, umlete Akpan, unakua umefanya maboresho ?Shida ya Simba naiona katika ukosefu wa wachezaji bora wa kutosha. Ndani ya Simba kuna wachezaji wachache sana wenye quality, ukimtoa Chama, Inonga, Kanoute, Onyango, Kapombe, Tshabalala, Mzamiru Yassini, Sakho, Phiri, wengine wote waliobakia ni avarage players au rubbish tu.
Kibu Denis hatakiwi kwasasa hata akae bechi , Kyombo ni wa hivyo sana. Tunahitaji kusajili wachezaji wataoweza badili mchezo.
Lingine kocha, hamna kitu anabebwa tu na ubora wa baadhi ya wachezaji. Mechi ya leo kipindi cha pili Mbeya city walikuwa wanashambulia kwa kustukiza na kuizidi Simba kiungo. Nilitegemea kocha angeingiza Akpan azuie eti namuingiza Kibu D.
YaaahUshindi wa simba ni mipango mipango,na mipango hufanikiwa sana akiwa nyumbani
Ushindi wa Yanga ni kucheza mpira halisi,kucheza kihalali kushinda kihalali au ku draw ki halali
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Blo mbona umetaja timu nzimu muzeye.Shida ya Simba naiona katika ukosefu wa wachezaji bora wa kutosha. Ndani ya Simba kuna wachezaji wachache sana wenye quality, ukimtoa Chama, Inonga, Kanoute, Onyango, Kapombe, Tshabalala, Mzamiru Yassini, Sakho, Phiri, wengine wote waliobakia ni avarage players au rubbish tu.
Kibu Denis hatakiwi kwasasa hata akae bechi , Kyombo ni wa hivyo sana. Tunahitaji kusajili wachezaji wataoweza badili mchezo.
Lingine kocha, hamna kitu anabebwa tu na ubora wa baadhi ya wachezaji. Mechi ya leo kipindi cha pili Mbeya city walikuwa wanashambulia kwa kustukiza na kuizidi Simba kiungo. Nilitegemea kocha angeingiza Akpan azuie eti namuingiza Kibu D.
Soma vizuri mkuu!Blo mbona umetaja timu nzimu muzeye.
Kama una quality first 11 yote, wale squad players wana shida gani?Soma vizuri mkuu!