Matokeo ya Simba nje ya Dar

Simba mechi ya away waliyoshinda ni ya Ruvu shooting ambayo ililetwa Dar es SALAAM pengine kwa uzito wa bahasha. Mechi hiyo siyo sahihi kuiita ya Ugenini.
 
Hivi kwenye kiungo cha Simba, ukimtoa Mkude, umlete Akpan, unakua umefanya maboresho ?

Mimi naona ni Mzamiru na Kanoute tu wakiwa uwanjani ndio kiungo cha Simba kinakua imara.
Ukimleta Nyoni, Mkude, Akpan au Kapama achukue nafasi ya ama Mzamiru au Kanoute, kiungo kinakua na mapungufu mengi.

Hapa ndipo nakubaliana na hoja yako ya msingi kwamba depth ya kikosi cha Simba kwa maana ya ubora ni ndogo.

Na hapa ndipo napingana na hoja yako kwamba Akpan angeweza kuleta jambo lolote la maana kama angeingia kuchukua nafasi ya Mkude (average mwenzie).
 
Blo mbona umetaja timu nzimu muzeye.
 
Mgunda ni Kaboka tupu linalotembea lakini kocha hamna humo..

Fukuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…