Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yatatoka mwezi huu kati ya tarehe15-20. Yatatoka pamoja na matokeo ya form six
Kwann yatoke pamoja kwan si kila chuo kimesahihisha kivyake au inakuaje
huo ndo utaratibu, mmeanza pa1 yatatoka pa1
Ok thanx bro though ya form 4 na ya primary hua yanaanza pamoja lakn kutoka tofauti
Kwa hyo na wewe ni mwalimu mtarajiwa?wanafunzi kazi wanayo..
matokeo yote yanatoka kuanzia mwezi wa nane,,ualimu pamoja na wale walioapply vyuo vya afya .
Acha kutoa taarifa usizo na uhakika nazo!
Kwann yatoke pamoja kwan si kila chuo kimesahihisha kivyake au inakuaje