Matokeo ya ualimu 2015 yanatoka lini?

Matokeo ya ualimu 2015 yanatoka lini?

acheni pumba nyinyi,,sisi wenyewe pia tumeapply tena kupitia mfumo wa pamoja CAS(nacte) na tumefanya mawasiliano na makao makuu ya nacte wakasema kuwa matokeo yote yanatoka kuanzia mwezi wa nane ,,ila hatuwezi jua ww mwenzetu umeapply kwa njia gani ndo maana upo kinyume ,,sasa kwa wale wote ambao wapo kinyume haya ngojeene matokeo yenu mwezi huu ,ila kama ww umeapply kupitia nacte jiandae mwezi wa nane,,na nawakumbusha kuwa kwa wale ambao bado hawajafanya application wawahi kwani mwisho ni 18/07..

Nosense your out of topic, mwenzio anauliza matokeo ww unasema aplcation, hiyo aplication umefanya bila matokeo.

Hivi mtihan husahihishwa na nacte??? we kwel ni hasara matokeo yanatoka kuanzia july 14 hadii 22
 
Nosense your out of topic
mwenzio anauliza matokeo ww unasema aplcation..hiyo aplication umefanya bila
matokeo
hivi mtihan husahihishwa na nacte??? we kwel ni hasara
matokeo yanatoka kuanzia july 14 hadii 22

Afadhari umemwambia maana naona hajaelewa swali ila kaandika anachowaza
 
matokeo ya ualimu 2015 yatatoka lini? make kuna watu wanabishana pasipo kujua kuwa ni mapema mno kwa matokeo ya ualimu 2015 yatatoka lini? Maana kuna watu wanabishana pasipo kujua kuwa ni mapema mno.

Hivi nawewe ni mwalmu au kilaza fulani tu!
 
Hayo matokeo ya ualimu ni kwa walio apply au wanachukuliwa ambao hawakufaulu kwenda a level?
 
Naskia eti wanasema kesho au kesho kutwa.
 
Kwann yatoke pamoja kwan si kila chuo kimesahihisha kivyake au inakuaje

mkuu mbona hujiamini?

Mwambie kuwa huku vyuo vikuu hakuna NECTA.

mifumo ya kutangaza matokeo ni tofauti sana na sekondari pamoja na msingi.
 
mkuu mbona hujiamini?

Mwambie kuwa huku vyuo vikuu hakuna NECTA.

mifumo ya kutangaza matokeo ni tofauti sana na sekondari pamoja na msingi.

ikiwa form 4 naye anayechaguliwa kujiunga university of dodoma naye ukamtambulisha kuwa yupo chuo kikuu ni sawa na kulichagua galasa kuwa shupaza. Bravo government.
 
Back
Top Bottom