Matokeo ya ualimu 2015 yanatoka lini?


Nosense your out of topic, mwenzio anauliza matokeo ww unasema aplcation, hiyo aplication umefanya bila matokeo.

Hivi mtihan husahihishwa na nacte??? we kwel ni hasara matokeo yanatoka kuanzia july 14 hadii 22
 
Nosense your out of topic
mwenzio anauliza matokeo ww unasema aplcation..hiyo aplication umefanya bila
matokeo
hivi mtihan husahihishwa na nacte??? we kwel ni hasara
matokeo yanatoka kuanzia july 14 hadii 22

Afadhari umemwambia maana naona hajaelewa swali ila kaandika anachowaza
 
matokeo ya ualimu 2015 yatatoka lini? make kuna watu wanabishana pasipo kujua kuwa ni mapema mno kwa matokeo ya ualimu 2015 yatatoka lini? Maana kuna watu wanabishana pasipo kujua kuwa ni mapema mno.

Hivi nawewe ni mwalmu au kilaza fulani tu!
 
Hayo matokeo ya ualimu ni kwa walio apply au wanachukuliwa ambao hawakufaulu kwenda a level?
 
Naskia eti wanasema kesho au kesho kutwa.
 
Kwann yatoke pamoja kwan si kila chuo kimesahihisha kivyake au inakuaje

mkuu mbona hujiamini?

Mwambie kuwa huku vyuo vikuu hakuna NECTA.

mifumo ya kutangaza matokeo ni tofauti sana na sekondari pamoja na msingi.
 
mkuu mbona hujiamini?

Mwambie kuwa huku vyuo vikuu hakuna NECTA.

mifumo ya kutangaza matokeo ni tofauti sana na sekondari pamoja na msingi.

ikiwa form 4 naye anayechaguliwa kujiunga university of dodoma naye ukamtambulisha kuwa yupo chuo kikuu ni sawa na kulichagua galasa kuwa shupaza. Bravo government.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…