Elections 2010 Matokeo ya ubunge - mchanganuo kijinsia please

Elections 2010 Matokeo ya ubunge - mchanganuo kijinsia please

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
5,457
Reaction score
963
Naombeni tuchanganue tujue ni kiasi gani wanawake nao wamefanikiwa -bila kujali vyama:
List ni kama hii so far:
1. Dr Lucy Nkya - Morogoro.....
2. Halima Mdee - Kawe
3. Jenister Mhagama...

Tuendeleze tafadhali bila kuweka utani/kejeli .....

4. Hawa Ghasia - Mtwara Vijijini (Asante Gaijin kwa kuongezea kwenye list)
5. Zaitun Aggripina Buyogela- Kasulu Vijijni
6. Prof Anna Tibaijuka -
7. Mariam Kasembe -
 
Zaitun Agripina Buyogela (NCCR Mageuzi) Kasulu vijijini
 
Jenister Muhagama kashinda kwa kishindo huko Peramiho kama 90%
 
Mtaje na majimbo kwa mfano Hawa gasia(Ghasia) Mtwara vijijini
 
Big up kwa Zaitun Buyogela ...........kashinda kwa margin ya kuridhisha kabisa
 
Celina Kombani (CCM) Ulanga Mashariki
 
Zaitun Aggripina Buyogela wa jimbo la Kasulu Vijijini Mkoa wa Kigoma
 
Maryam Kasembe (CCM) jimbo la Masasi
 
Back
Top Bottom