Uchaguzi 2020 Matokeo ya uchaguzi 2020

Uchaguzi 2020 Matokeo ya uchaguzi 2020

LGF

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2020
Posts
1,407
Reaction score
790
Hii nimeikuta Bureau of Statistics
3D82F8D8-C9BA-461B-A7FE-D2F020188846.jpeg
 
Ushabiki ni kitu kizuri, lakini pia ni kitu mfano wake ni kama mtu mvuta bange asipojizuia

Na hata kama na ingawa hakuna ushahidi wa moja Kwa moja, Tundu lisu hata angelikesha Kwa mizimu na Kwa waganga wa Naigeria, asingelimshinda Magufuli

Hapo, nazungumza na washabiki mfano wa mtu mvuta bangi!

Lakini Kwa wenye akili timamu, wote wanaungana nami ktk hili kusema, Tundu lisu asingelishinda hata angelala makaburini
 
Uchafunzi mkubwa kwenye history ya Tanzania, 1995 rais wa awamu ya kwanza naye alifanya Uchafunzi kwenye uchaguzi mkuu, eti jimbo la Dar karatasi za kupigia kura zilikua deal kupatikana kwenye vituo vya kura!!
 
Ulikuwa unataka kusema nini?
Ushabiki ni kitu kizuri, lakini pia ni kitu mfano wake ni kama mtu mvuta bange asipojizuia

Na hata kama na ingawa hakuna ushahidi wa moja Kwa moja, Tundu lisu hata angelikesha Kwa mizimu na Kwa waganga wa Naigeria, asingelimshinda Magufuli

Hapo, nazungumza na washabiki mfano wa mtu mvuta bangi!

Lakini Kwa wenye akili timamu, wote wanaungana nami ktk hili kusema, Tundu lisu asingelishinda hata angelala makaburini
 
Huu ni utopolo bin upuuzi, bin ushetani bin udanganyifu bin ukatili!
Udanganyifu huu ndio dhambi na laana inayowatafuna walioitenda milele na milele!
 
Ushabiki ni kitu kizuri, lakini pia ni kitu mfano wake ni kama mtu mvuta bange asipojizuia

Na hata kama na ingawa hakuna ushahidi wa moja Kwa moja, Tundu lisu hata angelikesha Kwa mizimu na Kwa waganga wa Naigeria, asingelimshinda Magufuli

Hapo, nazungumza na washabiki mfano wa mtu mvuta bangi!

Lakini Kwa wenye akili timamu, wote wanaungana nami ktk hili kusema, Tundu lisu asingelishinda hata angelala makaburini

Na kuonesha kwamba Mungu alichukia, mwizi wa Kura akaondoka.
 
Ushabiki ni kitu kizuri, lakini pia ni kitu mfano wake ni kama mtu mvuta bange asipojizuia

Na hata kama na ingawa hakuna ushahidi wa moja Kwa moja, Tundu lisu hata angelikesha Kwa mizimu na Kwa waganga wa Naigeria, asingelimshinda Magufuli

Hapo, nazungumza na washabiki mfano wa mtu mvuta bangi!

Lakini Kwa wenye akili timamu, wote wanaungana nami ktk hili kusema, Tundu lisu asingelishinda hata angelala makaburini

Kwa bahati mbaya unadhani uchaguzi ni kushinda tu. Kwa taarifa yako CDM hawazungumzii kushinda, bali uhalali wa matokeo yaliyotangazwa. Naona wengi wa mnaokwepa ukweli wa uhayani ule, mnaongelea ushindi kuwa ilikuwa lazima Magufuli ashinde, na sababu mnayoitoa ni ya hisia. Kama kweli Magufuli alikuwa na uhakika wa kushinda uchaguzi ule, asingeagiza uchaguzi unajisiwe.

Matokeo halali yangetangazwa, hata kama Magufuli angeshinda bado angeshinda kwa margin ndogo sana, huku upande wa wabunge angepoteza 2/3 inayomruhusu kupitisha chochote bungeni atakavyo. Na matokeo halali yangetangazwa ingekuwa fedheha kubwa kwa Magufuli mwenyewe na CCM yake kwa ujumla. Matokeo ya uchaguzi ule ambao Magufuli na watu wa ndani wa mfumo waliyaona, yalimuacha Magufuli na msongo wa mawazo, hadi mauti yanamkuta hakuwa na furaha tena zaidi ya kuwa mtu aliyechanganyikiwa. Ukiona CCM bado wanalazimisha zuia la mikutano ya hadhara, ni kwa kuwa wanajua ushawishi wao kwa umma umepungua.
 
Back
Top Bottom