sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
hivi huwa kuna mishahara ?Hongera zao
Qayllah Nurdin Bilal, ambaye ni mtoto wa msanii wa Bongofleva, Shetta (Hutaniwa wamefanana na Kova), amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Dodoma.Qayllah amepata kura 303 kati ya kura halali 429 zilizopigwa
View attachment 2848650
Isack Mwigulu Nchemba ambaye ni mtoto wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba is ametangazwa kuwa mshindi wa Ujumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa
View attachment 2848651
CCM kutolewa madarakani ni kazi sana mkuu, jamaa wana mipango miaka 30 mbeleni.Maandalizi ya kuja kusema "Tulikipigania chama" miaka 20 ijayo hawa ndio watakuwa wakuu wa wilaya na mawaziri wakati baba zao ni baraza la wazee wa CCM. Siasa chini ya CCM inalipa sana. Wakati raia wanateseka na ajira hawa watoto washaandaliwa ajira hapo kupitia siasa.
CCM kuitoa bila machafuko nchini ni ngumu. Yani bila wananchi kuamua kumwaga damu ili kizaliwe chama kipya kitachofuata misingi mipya kikatiba tutaendelea kuwa hivi hivi for foreseeable future😂CCM kutolewa madarakani ni kazi sana mkuu, jamaa wana mipango miaka 30 mbeleni.
Sema tusifike huko, acha kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake kama walivyosema.CCM kuitoa bila machafuko nchini ni ngumu. Yani bila wananchi kuamua kumwaga damu ili kizaliwe chama kipya kitachofuata misingi mipya kikatiba tutaendelea kuwa hivi hivi for foreseeable future😂
Vp mtoto wako?Mtoto wa ChoiceVariable vepeee?
Mtoto wa Lucas je?![emoji23][emoji23]
Yana mwisho na mwisho wake hauko mbaliQayllah Nurdin Bilal, ambaye ni mtoto wa msanii wa Bongofleva, Shetta (Hutaniwa wamefanana na Kova), amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Dodoma.Qayllah amepata kura 303 kati ya kura halali 429 zilizopigwa
View attachment 2848650
Isack Mwigulu Nchemba ambaye ni mtoto wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba is ametangazwa kuwa mshindi wa Ujumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa
View attachment 2848651
Watoto wangu hawawezi Kufanya mambo ya Siasa ni kuuwa vipaji vyao!
CCM Watolewe madarakani na nani?, au CCM itoke halafu aje nani? kwasababu Tanzania hatuna upinzani makini!. Hiki Chuma kilipoingia tuu, tukawauliza watu humu Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo kisha tukawauliza tena Upinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwala?. Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au..? jibu likawa ni Tanzania hatuna upinzani wowote makini na wa maana wa kuing'oa CCM, hivyo tukawaeleza watu ukweli halisi wa kitu kilichopo ni CCM only and only CCM hivyo Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. kwasababu CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola! na kufuatia members wengi humu wamejiunga juzi juzi, angalieni hili la CCM kutawala milele, tumeanza kulizungumza lini Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!. na Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla Chuma kilipoingia utekelezaji wa hili ulifanyika The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja watu walikuwa na mategemeo sana na Chadema, tukawaeleza ukweli kuwa Chadema hakuna kitu pale Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?, kama vitu vidogo tuu kama Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?.CCM kutolewa madarakani ni kazi sana mkuu, jamaa wana mipango miaka 30 mbeleni.
Nzuri sana. Lkn sisi waislam tusisahau kuwasimamia watoto mafunzo ya kiislam ili waweze kujitambua na kujielewa wao ni nani na kwanini wakaumbwa na baada ya kufa nini kitafata. Haya mengine ukifumba jicho tu hakuna tena msaada.Qayllah Nurdin Bilal, ambaye ni mtoto wa msanii wa Bongofleva, Shetta (Hutaniwa wamefanana na Kova), amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Dodoma.Qayllah amepata kura 303 kati ya kura halali 429 zilizopigwa
View attachment 2848650
Isack Mwigulu Nchemba ambaye ni mtoto wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba is ametangazwa kuwa mshindi wa Ujumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa
View attachment 2848651
wengine ni kuzurura tu na manung'uniko kibao, huku watoto wao wakila bata ng'ambo, eti bongo jotroo na hakuna maisha wanasahau kua hayo ni maandalizi ya walalamikaji wasiojua chochote baadaeMaandalizi ya kuja kusema "Tulikipigania chama" miaka 20 ijayo hawa ndio watakuwa wakuu wa wilaya na mawaziri wakati baba zao ni baraza la wazee wa CCM. Siasa chini ya CCM inalipa sana. Wakati raia wanateseka na ajira hawa watoto washaandaliwa ajira hapo kupitia siasa.
Hiki kizazi kinachokuja ni tofauti na chetu mkuu.Maandalizi ya kuja kusema "Tulikipigania chama" miaka 20 ijayo hawa ndio watakuwa wakuu wa wilaya na mawaziri wakati baba zao ni baraza la wazee wa CCM. Siasa chini ya CCM inalipa sana. Wakati raia wanateseka na ajira hawa watoto washaandaliwa ajira hapo kupitia siasa.
Mkuu ni wewe kweli?Hiki kizazi kinachokuja ni tofauti na chetu mkuu.
Jamaa wanajiamini na wanauliza almost kila jambo, hawatakubali kuburuzwa.
Haya unayoyaona sasa yataishia kizazi hiki ila trust me huo ujinga hautakuwepo huko mbeleni.