Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Majimbo ya Iringa

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
2,553
Reaction score
1,291
Bado naendelea kukusanya matokeo kutoka vituo mbalimbali ila vyooooye ambavyo nimeshapita Chadema wamefunika mbaya...ccm wameachwa mbali mnoo!!

Sijaandika namba kamili sababu kuna pilika pilika isiyo ya kawaida...watu wanazumguka kituo hadi kituo kushangilia ushindi wa chadema...vituo vichache ambavyo nna uhakika navyo hadi sasa stendi kuu, mkwawa, makorongoni..vingine cvijui hata majina... ambavyo vyote chadema wameoongoza kwa kiasi kikubwa mnooo!! mji mzima hivi sasa ni kelele za ushindi tu!!
 
Tupo pamoja mkuu,thanks kwa taarifa
 
Saaaaaa ukombozi ni sasaaaaaaaaa
mapinduziiii daimaaaaaa
 
Kama mji unarindima watawezaje ndio imetoka hiyo. Maggid tupe news?
 
asante mkuuu wa kaya tumwagie na madata hapa tusherehekee wote na wanyalukolo wenzetu kule home
 
Kama mji unarindima watawezaje ndio imetoka hiyo. Maggid tupe news?

mjengwa kiabarua kinaota majani .... na tutakuchunguza kilichokuwa kinakufanya unamkashifu Dr. S ni kitu gani; kama ni rushwa , you are a goner!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…