Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Majimbo ya Iringa

Bora kuingiza sugu kuliko ccm. tunataka mabadiliko. tumechoka na sura zilezile.
 
Mkuu jitahidi tuapatie takwimu kamili pamoja na pilika zilizopo. By the way naamini ushindi upo tunachotaka kujua ni kwa kiwango gani. Big up Mkuu kwa taarifa za faraja kwa wapenda mabadiliko.
 
Kwani mbonaMajimAREFU hUKUULIZA ANAENDA BUNGENI KUFANYA NII?
 
Kuwa msanii wa Hip hop isiwe kigezo cha kumzuia mtu kugombea endapo akiwa na sifa. mbona mambo ya kizamani sana haya
:nono:
 
kwani magembe kafanya nini cha maana zaidi ya kuchakachua elinu yetu?sugu nenda bungeni katutetee sio kutetea ccm
na nafisadi wao
 
najisikia raha mpaka basi,mungu atatusaidia tushinde salama
 

So far so good...Mungu Ibariki Tz...!
 
Aaaaaaaaaaaaaaaaaah HOME TOWN Make me proud!............Nalia kwa furaha.....................I wish ningekuwa Iringa saa hizi!
 
Hivi kweli sugu anafaa kwenda bungeni au ushabiki tu


Kama wameingia watu bungeni wamefuga ufisadi hadi nchi inagwanyika mapande ya udini na ukabila...

Bora sugu akarap..what is different sir?

Unamuonaje sugu wewe..Hawezi kemea EPA? Meremeta...Jiandaeee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…