Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Majimbo ya Iringa

Mi nipo hapa Iringa mjini hatua chache kutoka chumba cha kujumlishia kura.Ujumlishaji umechelewa hivi sasa ni kura za urais zinazojumlishwa na baada ya hapo ni kura za ubunge,taarifa kutoka vituoni ni kuwa CHADEMA WANAONGOZA
 
Mjengwa pia ameandika kuwa amethibitisha ushindi wa mgombea kupitia Chadema Mch. Peter Msigwa

mjengwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…