Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Majimbo ya Iringa

Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Majimbo ya Iringa

Tuleteeni japo figure jamani. Hongereni sana wana Iringa
 
Nilishawaambia watu Iringa CCM wakishinda nahamia Karatu au Tarime! Siwezi kaa Jimbo linalotawaliwa na CCM. Ni hatari. Sasa nitabaki Iringa, tushirikiane na Msigwa kuleta maendeleo. Weraweraaaaaaaa!
 
Haya sasa kazi kwako Maggid Mjengwaa tupe article nyingine ya uchambuzi wa wana-Iringa!! heheheheh
 
yaan saiz huku full vifijo...kwa mbalaali naskia sauti za watu wakimalizia malizia kushangilia..kila mtu na staili yake...mara unaskia vuvuzela..mara peeeopleezzz afu mwengine mtaa wa ngapi cjui huko anajibu pooooooweeerss!!
 
huwezi amini mpaka saiz nasikia kelele za kushangilia maeneo ya stendi kuu huko...hadi raha jamani...mwee!!
 
Asante wanyalukolo wenzangu wa Iringa kwa kuonyesha mabadiliko. Inguluvi iwatange.........................................!!!!!!!!!!!!!!
 
Mjengwa asupali. Ahere kwi? khe khe kheeeeeeeeeee
 
wadau matokeo iringa mjini kata zote yameshatangazwa: Ccm wameshinda kata 2 na chadema wameshinda kata 14. Jimbo lina kata 16. Source: Star TV

Hongera Chadema kwa kukamata jimbo hilo
 
CHADEMA tumeshapata halmashauri tatu mpaka sasa. Musoma mjini, Moshi mjini na Iringa mjini. tunasubiri matokeo mengine
 
Safi sana shemeji zangu. Mmetoa hukumu ya haki. Mwendo mdundo, na bado tutaendelea kukamua sehemu zingine. CHADEMA hoyeeeeeee!
 
CHADEMA tumeshapata halmashauri tatu mpaka sasa. Musoma mjini, Moshi mjini na Iringa mjini. tunasubiri matokeo mengine

Pia Arusha mjini wameshinda kata 12 kati ya 19
 
nyela ndauli vanyalukolo? maamuzi yenu nayaheshimu sana kuanzi kitwilu,kibwabwa, ipogolo indiuka kitanzini
uhindini mshindo mlandege kiodombi kihesa weraaa weraaaaa
 
Back
Top Bottom