MATOKEO YA KITUO CHANGU CHA UCHAGUZI
KURA ZA URAIS:
CHADEMA: 108+128+119+85+94 = 534
CCM: 88+70+58+80+77 = 373
KURA ZA UBUNGE:
CHADEMA: 135+134+126+99+111 = 605
CCM: 58+58+45+63+51 = 275
KURA ZA UDIWANI:
CHADEMA: 109+108+115+86+88 = 506
CCM: 80+70+54+71+68 = 343
*KITUO CHA SINZA A (NICE) OFISI YA KITONGOJI
Unavyotuambia tutapigwa na butwaa unaonekana kama vile unajua mliyoyafanya!WanaChadema mtapigwa butwaa mtakapopata matokeo ya mikoa ya Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Iringa, Morogoro na maeneo ya vijijini nchi nzima.
Mtapigwa ganzi, msiamini kinachotokea
Kwa nguvu ya Mungu tunashinda kwani sikutegemea kuwa hivyo kutoka kwa wajeshi wetu.
Vituo Sita (6) vya Utawala:
URAIS:
CHADEMA (Dr. Slaa) - 714
CCM (Kikwete) - 119
UBUNGE:
CHADEMA (Mnyika) - 730
CCM (Ngumbi) - 103
kumbe slaa hakukosea kusema nusu ya vyombo vya ulinzi na usaalaama wanaripoti kwake [wanamsapoti]....nimeangalia matokeo ya TSJ[nje ya kambi ya usalama-PSU au Presidential security unit]....haya ya makongo [nje ya kambi ya SAM-surface to air missiles na radar]...oysterbay anapopigia kura pinda,shein,na warioba..na pia yapo makao makuu ya TISS hapo..CHADEMA na ccm aidha wanakaribiana ...au at some extent wameongoza ..haya ni maajabu...maana haya ni maeneo ambayo katika hali ya kawaida CHADEMA hawakustahili kupata kura hata moja......haya bwana ccm-BMW Hiyoo!!!
Habari za kusikitisha huenda Ilalla CCM wakachukua Zungu anaongoza kwa kura nyingi!
Mkuu tupe na data.... ila hao wana usalama wetu wanaomchagua Slaa ni wale wenye upeo maana wale makuruta wa CCP pale Msishi ndio wamchafua data za Mzee NDesa Pesa (Ndesamburo) maana Slaa na Ndesamburo wameongoza kote kasoro CCP tu....
that is not news....hata ukiweka mwendawazimu [kama zungu] atashinda...hiyo ni ngome ya CCM .....hawa watakombolewa baadaye ....achaneni na waliolala tuangalie kwanza walio macho...that will be rescued in revolution strategy 2010-2015.
Urais:
CCM - 27
CHADEMA - 142
CUF - 3
Ubunge:
CCM - 22
CHADEMA - 142
CUF - 6
Kwa tafsiri rahisi ni hii hapa
Urais:
CCM 27 = 15.6%
CHADEMA - 142 = 82.5%
CUF 3 = 1.7%
Jumla: 172
Ubunge:
CCM 22 = 12.9%
CHADEMA 142 = 83.5%
CUF - 6 = 3.5%
Jumla: 170
UDSM safi sana