Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

WanaChadema mtapigwa butwaa mtakapopata matokeo ya mikoa ya Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Iringa, Morogoro na maeneo ya vijijini nchi nzima.

Mtapigwa ganzi, msiamini kinachotokea
Unavyotuambia tutapigwa na butwaa unaonekana kama vile unajua mliyoyafanya!
Hata kama mtafanya mfanyavyo huu ni mwaka wa Mungu kuleta mabadiliko Tanzania na siyo wana chadema kama unavyodhani.
Nakwambia wewe na kijan yako ndiyo mtakaopigwa butwaa!
Pole sana ndugu!
 
kumbe slaa hakukosea kusema nusu ya vyombo vya ulinzi na usaalaama wanaripoti kwake [wanamsapoti]....nimeangalia matokeo ya TSJ[nje ya kambi ya usalama-PSU au Presidential security unit]....haya ya makongo [nje ya kambi ya SAM-surface to air missiles na radar]...oysterbay anapopigia kura pinda,shein,na warioba..na pia yapo makao makuu ya TISS hapo..CHADEMA na ccm aidha wanakaribiana ...au at some extent wameongoza ..haya ni maajabu...maana haya ni maeneo ambayo katika hali ya kawaida CHADEMA hawakustahili kupata kura hata moja......haya bwana ccm-BMW Hiyoo!!!
 
REDET vipi rudisheni pesa.Badala ya kufanya utafiti nyinyi mnatabiri mnaona sasa mmetundanganya
 
kumbe slaa hakukosea kusema nusu ya vyombo vya ulinzi na usaalaama wanaripoti kwake [wanamsapoti]....nimeangalia matokeo ya TSJ[nje ya kambi ya usalama-PSU au Presidential security unit]....haya ya makongo [nje ya kambi ya SAM-surface to air missiles na radar]...oysterbay anapopigia kura pinda,shein,na warioba..na pia yapo makao makuu ya TISS hapo..CHADEMA na ccm aidha wanakaribiana ...au at some extent wameongoza ..haya ni maajabu...maana haya ni maeneo ambayo katika hali ya kawaida CHADEMA hawakustahili kupata kura hata moja......haya bwana ccm-BMW Hiyoo!!!

Mkuu tupe na data.... ila hao wana usalama wetu wanaomchagua Slaa ni wale wenye upeo maana wale makuruta wa CCP pale Msishi ndio wamchafua data za Mzee NDesa Pesa (Ndesamburo) maana Slaa na Ndesamburo wameongoza kote kasoro CCP tu....
 
Habari za kusikitisha huenda Ilalla CCM wakachukua Zungu anaongoza kwa kura nyingi!

that is not news....hata ukiweka mwendawazimu [kama zungu] atashinda...hiyo ni ngome ya CCM .....hawa watakombolewa baadaye ....achaneni na waliolala tuangalie kwanza walio macho...that will be rescued in revolution strategy 2010-2015.

Mkuu tupe na data.... ila hao wana usalama wetu wanaomchagua Slaa ni wale wenye upeo maana wale makuruta wa CCP pale Msishi ndio wamchafua data za Mzee NDesa Pesa (Ndesamburo) maana Slaa na Ndesamburo wameongoza kote kasoro CCP tu....

CCP au sehemu yetote yenye makuruta ...upinzani hauwezi kushinda ....recruits huwa wanapiga kura kwa woga....waki vote against overwhelmly watachafua mafaili yao na whose know labla wameombiwa wakimpigia ndesa watapigwa DISCO kwa wingi....
 
Mwenye data za jimbo la kawe tafadhali, status ya Halima
 
that is not news....hata ukiweka mwendawazimu [kama zungu] atashinda...hiyo ni ngome ya CCM .....hawa watakombolewa baadaye ....achaneni na waliolala tuangalie kwanza walio macho...that will be rescued in revolution strategy 2010-2015.

Hahahaaa....... interesting.
 
Mbezi Beach

Tangi Bovu - Urais
CCM 60,
CHADEMA 108,
CUF 4

Soko Jipya /Mbezi Beach Urais

Kituo namba 1
CCM 51,
CHADEMA 115,

Kituo namba 2:
CCM 63,
CHADEMA 100,
 
Treni sasa limeanza kushika kasi abiria tunao wengi na tutafika salama kabisa Chama cha mafisadi sasa Basi.

Urais:

CCM - 27
CHADEMA - 142
CUF - 3

Ubunge:

CCM - 22
CHADEMA - 142
CUF - 6
 
Kwa hakika Mungu ni mkubwa sana na utukufu wake hauna mwisho. Ninawahakikishieni yakuwa Dr. Slaa ataapishwa kuwa rais wa tano wa Jamuhuri ya Tanzania.
 
Kwa tafsiri rahisi ni hii hapa
Urais:

CCM – 27 = 15.6%
CHADEMA - 142 = 82.5%
CUF – 3 = 1.7%

Jumla: 172

Ubunge:

CCM – 22 = 12.9%
CHADEMA – 142 = 83.5%
CUF - 6 = 3.5%

Jumla: 170
UDSM safi sana

lolz.

Bana keshakunja mshiko wake..anawaachia mazumbe CCM vumbi tu.
 
Back
Top Bottom